tatizo ni kwamba tanzagiza haina cha ku export, lengo kuu la kuwa na bandari siyo kuhudumia nchi nyingine bali ni kujihudumia ninyi kwanza kama nchi, sasa tanzagiza kwa kuwa hakuna cha ku-export ndiyo maana huwa wanaamini lengo la bandari ni nchi jirani, halafu wanakwenda mbali zaidi kulaumu nchi jirani kwa failure ya bandari zao, narudia bandari hazijengwi kwa kusudi la kuhudumia foreign country bali hujengwa kwa kuhudumia nchi yenye bandari kwanza, hizo foreign countries zinapaswa kuwa nyongeza tu …