Maggie_999
New Member
- May 6, 2024
- 1
- 1
inatakiwa urudi nyumbani ufanye mchakato wa kupata cheti kipya la sivyo utapoteza nauli yako maana utumishi hawatakuruhusu uingie kwenye usahili.Ikiwa umeitwa kwenye interview ya written Utumishi, na cheti cha kuzaliwa kimepotea ila una copy yake iliyokua certified na mwanasheria.
Huku scan hiyo original na kubaki na soft copy ili uichapishe ulamineti uende nayo?
Cheti cha kuzaliwa kama una copy yake ni rahisi kupata kipya (fanya mchakato online kupitia eRita)
Ila mziki upo kwenye cheti vya sekondary maana Unatakuwa ufanye process NECTA (online)ili wakupe uthibitisho wa matokeo, huu mchakato ni 14 mpaka 30 ndo unapata uthibitisho wa matokeo kisha ndo utakuwa kama mbadala wa cheti utatumia kuombea ka
Kwenye website ya necta kuna maelekezo jinsi ya kutuma maombi na process zakeHio ya necta ujafanyeje?unaenda wapi?
Habari wadau, nilikuwa nahitaji kufahamu.. Ikiwa umeitwa kwenye interview ya written Utumishi, na cheti cha kuzaliwa kimepotea ila una copy yake iliyokua certified na mwanasheria.
Je, napaswa nifanye nini?
Kipoteza vyeti OG ni changamoto sana
Unaelewa maana ya cheti original?Huku scan hiyo original na kubaki na soft copy ili uichapishe ulamineti uende nayo?
Hawa ndio wakiliwa vichwa wanasema utumishi wanawaoneaUnaelewa maana ya cheti original?
Dah aisee cjui watu wana akili gnHawa ndio wakiliwa vichwa wanasema utumishi wanawaonea