Ukiitwa interview Utumishi na umepoteza original ya cheti kimoja unapaswa kufanyaje?

Ukiitwa interview Utumishi na umepoteza original ya cheti kimoja unapaswa kufanyaje?

Maggie_999

New Member
Joined
May 6, 2024
Posts
1
Reaction score
1
Habari wadau, nilikuwa nahitaji kufahamu.. Ikiwa umeitwa kwenye interview ya written Utumishi, na cheti cha kuzaliwa kimepotea ila una copy yake iliyokua certified na mwanasheria.

Je, napaswa nifanye nini?
 
Huku scan hiyo original na kubaki na soft copy ili uichapishe ulamineti uende nayo?
 
  • Thanks
Reactions: p2k
Ikiwa umeitwa kwenye interview ya written Utumishi, na cheti cha kuzaliwa kimepotea ila una copy yake iliyokua certified na mwanasheria.
inatakiwa urudi nyumbani ufanye mchakato wa kupata cheti kipya la sivyo utapoteza nauli yako maana utumishi hawatakuruhusu uingie kwenye usahili.
 
Shughuliia haraka iwezekanavyo tofauti na hivo watakusumbua sana
 
Kuna jamaa mmoja alipoteza cha f4 walimrudisha hakufanya interview na alikuwa na loss report.
 
Cheti cha kuzaliwa kama una copy yake ni rahisi kupata kipya (fanya mchakato online kupitia eRita)
Ila mziki upo kwenye cheti vya sekondary maana Unatakuwa ufanye process NECTA (online)ili wakupe uthibitisho wa matokeo, huu mchakato ni 14 mpaka 30 ndo unapata uthibitisho wa matokeo kisha ndo utakuwa kama mbadala wa cheti utatumia kuombea kazi
 
Hio ya necta ujafanyeje?unaenda wapi?
Cheti cha kuzaliwa kama una copy yake ni rahisi kupata kipya (fanya mchakato online kupitia eRita)
Ila mziki upo kwenye cheti vya sekondary maana Unatakuwa ufanye process NECTA (online)ili wakupe uthibitisho wa matokeo, huu mchakato ni 14 mpaka 30 ndo unapata uthibitisho wa matokeo kisha ndo utakuwa kama mbadala wa cheti utatumia kuombea ka
 
Habari wadau, nilikuwa nahitaji kufahamu.. Ikiwa umeitwa kwenye interview ya written Utumishi, na cheti cha kuzaliwa kimepotea ila una copy yake iliyokua certified na mwanasheria.

Je, napaswa nifanye nini?

Yaani ninavyowajua wale jamaa wanakagua vyeti Mpaka hapo tayali umeshakuwa DISCOLIFIED ..........

Siku zote ulikuwa wapi kufatilia cheti chako
 
Rita unaenda unakalia cheti cku moja na wanakupatia ikiwa una shida ya haraka hivyo ni kuwaomba tu ilimradi uwe na document wanazozitaka,mbona kwangu iliwezekana kupata cheti kwa siku moja
 
Back
Top Bottom