Alejandroz
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 329
- 413
Hahahahh! ππKitimoto.....ila ndoto zimeyeyuka, nafuga kucha tu π’
Unanicheka π’Hahahahh! ππ
Hujachelewa anza sasa.Unanicheka π’
Aaah mambo yashapandiana basi tenaHujachelewa anza sasa.
Juzi nilikuwa ifakara huko nimekutana na mama mmoja amefanya sana kazi bank kwa sasa anafuga mno, nimemkuta na kitimoto kama 2000 hivi na kuku zaidi ya 4000Kitimoto.....ila ndoto zimeyeyuka, nafuga kucha tu π’
Duuh huyo tajiriJuzi nilikuwa ifakara huko nimekutana na mama mmoja amefanya sana kazi bank kwa sasa anafuga mno, nimemkuta na kitimoto kama 2000 hivi na kuku zaidi ya 4000
lakini maziwa siunayo mkuuππππNyumba inahitaji atleast kuku 2 wa kutotoa mayai na mboga ya emergency.
Nitafuga ng'ombe ninywe maziwa!
Sahihi mkuuNg'ombe