Ukija kuamua kuanza kufuga utafuga mnyama gani?

kutembea nae haiwezekani kwa sababu ya sheria au hawezi kunizoea? hao wanaofuga ni kwa vibali?
Kukuzoea anaweza sana na kuwa rafiki pia ingawa hawa viumbe hawatabiriki
Kuna mzee mmoja anamfuga na anae nyumbani kwake ni mkubwa

Ila kumfuga fikiria pia mlo wake maana akikua anakula mpaka kilo 60 kwa mlo
Utaweza kumlisha au utawinda swala kila leo

Ethiopia kuna mji unaitwa Harar wananchi wanawalisha nyama Fisi yaani ndio umekuwa utamaduni wao tangu mwaka 1960 mpaka leo
Screenshot_20240328_192221_Chrome~2.png
 
Kukuzoea anaweza sana na kuwa rafiki pia ingawa hawa viumbe hawatabiriki
Kuna mzee mmoja anamfuga na anae nyumbani kwake ni mkubwa

Ila kumfuga fikiria pia mlo wake maana akikua anakula mpaka kilo 60 kwa mlo
Utaweza kumlisha au utawinda swala kila leo

Ethiopia kuna mji unaitwa Harar wananchi wanawalisha nyama Fisi yaani ndio umekuwa utamaduni wao tangu mwaka 1960 mpaka leo
View attachment 2947567
Kilo 60 Kwa mlo hahah hapo kweli mtihani ingefika siku tungeshindwana
 
Kuku ni mnyama wa jamii ya ndege.
Kiswahili kina maneno machache, nimeona huyo mtu ameandika kuku ni ndege sio mnyama ila kiuhalisia kuku nae ni mnyama.

Kwenye lugha ya kiingereza Kuna Animal Kingdom ambapo wanyama wote pamoja na ndege wamejumuishwa
 
Back
Top Bottom