Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Jiandae kuwa mchafu wewe na nyumba yakoKwasasabu tatu nitafuga Ng'ombe.
Kwanza Nyama yake ni biashara.
Mbili Maziwa yake ni biashara.
Tatu Mavi yake ni mbolea shambani kwangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiandae kuwa mchafu wewe na nyumba yakoKwasasabu tatu nitafuga Ng'ombe.
Kwanza Nyama yake ni biashara.
Mbili Maziwa yake ni biashara.
Tatu Mavi yake ni mbolea shambani kwangu.
Dogo unajua faini ya kukutwa na unyoya wa mbuni nchi hii 😄Mbuni aisee
Nyama yake, mayai, manyoya ni ghali kwahiyo ni biashara kabisa
KumbeDogo unajua faini ya kukutwa na unyoya wa mbuni nchi hii 😄
najua ila ntafuga kukukuku nindege mkuu😁😁
Paka,sungura, nyani ,Salaam wakulima na wafugaji
Kichwa cha uzi cha husika
Karibu tutiririke [emoji846]
kuku siyo mnyamakuku
Kuku siyo mnyama; ni ndege!kuku
Wa nini tenaBlack Mamba kama 30 hivi