Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Au unakuwa mlo akikosa chakulaKilo 60 Kwa mlo hahah hapo kweli mtihani ingefika siku tungeshindwana
Duh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],mchawi wa Simiyu weweFisi
MaghayoNatamani mamba anagekuwa anaruhusiwa kufugwa ningefanya juu chini niwe namfuga, namfunga na manyororo shingoni niwe natembea nae mtaani kwangu 😌
Shida ya ng'ombe ni kwamba hajali leo una msiba au harusi yeye anataka kulishwa na kunyweshwa.Kwasasabu tatu nitafuga Ng'ombe.
Kwanza Nyama yake ni biashara.
Mbili Maziwa yake ni biashara.
Tatu Mavi yake ni mbolea shambani kwangu.
Kwani akishinda njaa siku moja kuna ttzShida ya ng'ombe ni kwamba hajali leo una msiba au harusi yeye anataka kulishwa na kunyweshwa.
Utakua msibani utakumbuka hilo unaaga mbio mbio kwenda kukamilisha majukumu. Ukiajiri vijana akikuambia kesho sipo na wewe haupo ndiyo utauona utata mubashara
Atalia hadi utajisikia vibayaKwani akishinda njaa siku moja kuna ttz
Kuna unachotafuta😂Nguruwe
Tena nitamfugia zanzibar
Natamani nipate namba yakeDuuh huyo tajiri
Kitimoto ni biashara nzuri, mie huwa naitamani.