Ukija tu PM unapata buku la Vocha.

Ukija tu PM unapata buku la Vocha.

Kama heading inavyojieleza ukija tu Pale Miembeni (PM) kama wewe Ni Ke chap unapata buku la vocha.

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Povu Luksa.
Ndio wapi nije mzazi
 
Na kwako sperm zilizopita baada ya Ndomz kutoboka.
Dogo Jifunze kuwa humble, umekosea, kiri makosa, omba radhi, wewe ni mgeni hapa fuata mila Na tamaduni za wenyeji.
Habari na Hoja mchanganyiko
Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Usisite, liweke hapa uwahabarishe wenzako.
 
Dogo Jifunze kuwa humble, umekosea, kiri makosa, omba radhi, wewe ni mgeni hapa fuata mila Na tamaduni za wenyeji.
Kwani kuna sehemu nimemtukana mtu kwenye mada yangu ingekuwa na makosa au kumdhalilisha mtu basi Mod wangeshaifuta.

Hii ni mada kama mada zingine na ndio maana ipo mpaka sasa.

Au wewe umeona kuna makosa yoyote mkuu katika uandishi ? umeona na mada imewekwa jukwaa gani pia mkuu?
 
Jukwaa stahili lilikuwa ni Jokes/Utani + Udaku/Gossips
Vimbwenga, Vunja Mbavu na udaku wa kila aina vimejaa humu!
 
Back
Top Bottom