Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
mmmh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio wapi nije mzaziKama heading inavyojieleza ukija tu Pale Miembeni (PM) kama wewe Ni Ke chap unapata buku la vocha.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Povu Luksa.
habari na Hoja mchanganyikoJukwaa habari na hoja Mchanganyiko unaweza ukawa humu kumbe ni useles .
Dogo Jifunze kuwa humble, umekosea, kiri makosa, omba radhi, wewe ni mgeni hapa fuata mila Na tamaduni za wenyeji.Na kwako sperm zilizopita baada ya Ndomz kutoboka.
Habari na Hoja mchanganyiko
Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Usisite, liweke hapa uwahabarishe wenzako.
Kwani kuna sehemu nimemtukana mtu kwenye mada yangu ingekuwa na makosa au kumdhalilisha mtu basi Mod wangeshaifuta.Dogo Jifunze kuwa humble, umekosea, kiri makosa, omba radhi, wewe ni mgeni hapa fuata mila Na tamaduni za wenyeji.
Jukwaa stahili lilikuwa ni Jokes/Utani + Udaku/GossipsKwani kuna sehemu nimemtukana mtu kwenye mada yangu ingekuwa na makosa au kumdhalilisha mtu basi Mod wangeshaifuta.
Hii ni mada kama mada zingine na ndio maana ipo mpaka sasa.
Au wewe umeona kuna makosa yoyote mkuu katika uandishi ? umeona na mada imewekwa jukwaa gani pia mkuu?