Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 761
- 6,985
Kila unapopewa nafasi yakutumika waangalie unaowatumikia. Yapo madhara yakumtumikia mtu katika kazi inayohitaji uwatumikie watu. Ukimtumikia mtu utaacha maslahi mapana ya watu kwa maslahi mapana ya mtu.
Haya yanadhiirika kwa wabunge 19 walioteuliwa na spika kutoka chadema. Wakati wakiwa wanatumikia watu walikuwa na sauti ya kuwasemea watu lakini walipoamua kumtumikia mtu uwezo wakusema umeminywa kwa posho na mshahara wa mwezi.
Wanayemtumikia ana furaha na amani kwa kuwatumikisha watu waliokuwa na uwezo mkubwa wakuwasemea waliokuwa watumwa wao. Wanawake hawa leo hi hata matumizi ya mitandao ya kijamii kwao yamekuwa mwiba, picha hakuna, hoja hakuna n wala msimamo wao haupo wazi. Kwa kitupi maisha yao yapo chini ya mtu ambaye wakimkasirisha ataangalia namna nzuri yakuwawekea vikwazo kwenye maisha.
Ndipo linapotimia neno lisemalo mtumikie kafiri upate ujira wako. TUJIFUNZE KUWA SISI ZAIDI YAKUUZA USISI WETU NA KUWA WAO.