Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,146
Wanaume sometime tunaoa vituko....What a SHAME wife!!Eti jameni mume wangu amejenga kijumba haijaisha bado. Tunakula dagaa na nyama mara moja moja, je anatesaje wanae?
Kwa kuwa ni kweli ujenzi hauishi siku moja, sawa ujinga unakujaje hapo