Ukijengea nyumba kwa hela ya kuhemea ni ujinga

Eti jameni mume wangu amejenga kijumba haijaisha bado. Tunakula dagaa na nyama mara moja moja, je anatesaje wanae?

Kwa kuwa ni kweli ujenzi hauishi siku moja, sawa ujinga unakujaje hapo
Wanaume sometime tunaoa vituko....What a SHAME wife!!
 
Wanaume muwe mnawapima akili wanawake kabla ya kuwaoa sio mnapima oil tuuu.
 
Eti jameni mume wangu amejenga kijumba haijaisha bado. Tunakula dagaa na nyama mara moja moja, je anatesaje wanae?

Kwa kuwa ni kweli ujenzi hauishi siku moja, sawa ujinga unakujaje hapo
wanawake wajeuri ni kama wewe
 
Kwa mtu anaeanza kufanya biashara/ujasiriamali comment hii itakusaidia sana kujijenga. Sio nyumba tu hata gari nunua ya kawaida sana.
 
Eti jameni mume wangu amejenga kijumba haijaisha bado. Tunakula dagaa na nyama mara moja moja, je anatesaje wanae?

Kwa kuwa ni kweli ujenzi hauishi siku moja, sawa ujinga unakujaje hapo
Amejenga kijumba, mbona unaonekana unadharau sana, mume wako anawatafutia mahala pakuwahifadhi wewe unasema kijumba
 
Ndiyo maana huwa sipendi ku plan mambo makubwa na mazuri yanayotaka uvumilovu na mwanamke wa ubavu wangu, maana wao mawazo yao ni ya kukwamisha wachache wapo ambao ni majembe
 
Eti jameni mume wangu amejenga kijumba haijaisha bado. Tunakula dagaa na nyama mara moja moja, Je anatesaje wanae?

Kwa kuwa ni kweli ujenzi hauishi siku moja, sawa ujinga unakujaje hapo
Naona unaongea kwa code kumsema bwana yule,wachache tumekuelewa wengi umewapoteza maboya....umetisha kwa fasihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…