Read between the lines jombaa....tofautisha kujiita mnyonge na kujiita chuma.
1. Mnyonge kwa tafsri isyo rasmi ni hali ya kutojiami, kutojitambua, uwezo mdogo wa kushindwa kukabiliana na mazingira yanayokuzunguka etc.
2. Chuma ni metal, kitu kigumu ambacho upatikanaji wake unafanyika baada ya uchakatuaji wa kisayansi ndani ya ardhi.
Kwa muktadha huo nachelea kusema upeo wako wa kufikiri umeupa kikomo au unafanya kwa makusudi kwa sababu ya mihemko yako!
Mleta mada anachomaanisha na anatamani hisia zake zimfikie mhusika mkuu kusudi abatilishe/atengue kauli ya JPM ya kuwaita watanzania "WANYONGE"na badala yake awaite "CHUMA" kusudi kila Mtanzania/watoto wetu waweze kuamini kuwa hata wao wakiwa na malengo kuna siku moja wataweza kuingia "IKULU".