Airmanula
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 3,527
- 5,762
Uamuzi ni wako, wewe hapo endelea kujiita mjinga na maskini mnyongeKwa hiyo ukijiita chuma utakua chuma?
Ukijiita rais utaingia ikulu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uamuzi ni wako, wewe hapo endelea kujiita mjinga na maskini mnyongeKwa hiyo ukijiita chuma utakua chuma?
Ukijiita rais utaingia ikulu?
Nimependa Dada wa Taifa alivyowaelezea hao wanyonge wanaojiliza kwa huu msiba..umesoma? Kasome...amemalizaUamuzi ni wako, wewe hapo endelea kujiita mjinga na maskini mnyonge
Sent using Jamii Forums mobile app
Ongeza sauti hapo mkuuHii dunia ili uifaidi jitahidi iende unavyotaka siyo wanavyotaka watu, huwa inafika hatua nawakubali watu bandidu
Ukikubali na utakuwa hivyo.Kama mnyonge huko uchagani utatumwa tu hata ujiite Simba.
Ukubali usikubali kama ni mnyonge wewe ni mnyonge tu
Kuna tofauti kati ya kujiita tu kama jina na kuamini,kama ukiamini na ukaishi kwa kupambana kwa bidii na ari unyonge utaisha tuWewe kama ni mnyonge ni mnyonge tu hata ukijiita simba ukweli uko pale pale. Wanyonge,unyonge upo ndio maana hilo neno likawepo.
Huyo jamaa ni jamii ya wale wanaoamini familia masikini basi ni kizazi chote kitakuwa masikini....kwa sababu baba hakusoma basi hata yeye akisoma hatofaulu ni ujinga wa karneUamuzi ni wako, wewe hapo endelea kujiita mjinga na maskini mnyonge
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sio mnyonge bali napenda utulivu kwenye kuamua na kung'amua kila jambo kwa sababu huwa na amini kwamba "STILLNESS IS KEY". I'm sign off.Kwanza kabisa natangulia kusema SIIJUI KESHO YANGU lakini siwezi kuwa mnyonge kila siku.
Watanzania tumejengewa dhana potovu sana. Hivi unajua kujiita mnyonge ni kujidhalilisha?
Kama ulikua hujui usipopata changamoto katika maisha utakuwa mjinga tu,ukiishi ukiamini"mimi ni mnyonge" utakuwa mnyonge mpaka kufa,hata ukipewa dili ya milioni 100 utaona ujinga sababu tayari una dhana ya unyonge moyoni mwako.
Jitoe kwenye unyonge leo acha mawazo ya miaka 1800s, nani asiependa maisha mazuri? Nani anapenda kuwa mnyonge kila siku?
Ikiwa watanzania wengi wataendelea kuamini wao ni wanyonge wasiojiongeza badi tuna safari ndefu sana kufikia hata Kenya tu.
Unyonge unafanya mtu anatawaliwa, anadharauliwa,anateswa na kuonewa.
Dhana ya unyonge inapaswa kufa haraka sana, mama Samia naomba uhakikishe hilo ili nchi isonge mbele haraka. Kama unakubali ni mnyonge nyosha kidole juu na unipe mwisho wa unyonge ni ni lini kwako.
Sure, usicheze na nature! It'll drag you where you really belong.Still nature will keep and drag you where you belong [emoji3577]
Since nobody can outrun his/her destiny
Yeah man coz it's nature that put all things togetherSure, usicheze na nature! It'll drag you where you really belong.
Asante sana, wanyonge wasipojitanbua wanatumika kama daraja. Elimu ni muhimu sana kwa jamii zote. Usione ulaya imeendelea ukajua ni miujiza ilitawaliwa na Roma miaka 2000 iliyopita walipoacha kuwa wanyonge wakapata elimu wakapambana wakawa huru.Maccm Kazi yao ni kufanya watu wawe maskini na wasijitambue,wakishatengeneza matatizo wanachonga kinyago anajifanya mtu wa wanyonge at last wanapata uhalali wa kuendelea kuwa madarakani kupitia watu wasiojitambua.
Ndio maana utakuta hao wanaojiita wanyonge wanashangilia kulishwa propaganda huku wakiendelea kubali kuwa maskini na kutumika kama ngazi za kupandia .
Hao wanyonge utashangaa wamraminishwa na maccm kwamba ati umaskini wao unatokana na wafanyakazi au Matajiri makundi ya jamii ambayo ccm haiyataki kwa vile yanajitambua
Si ajabu wameacha kufanya Kazi zao za kinyonge wameenda kujiliza barabarani huku wanachokililia hawakielewi.