Ukijingiiza kwenye mahusiano na wadada wenye sifa hii umekwisha

Kwa muda mrefu nimekuwa ni kijiuliza kuwa ni msichana wa namna gani ambaye naweza kufanya mahusiano naye?

Hii ni kutokana na kuchoshwa na tabia za wadada wengi ambao ukijichanganya ukafanya nao mahusiano ujuwe wazi upo kwenye tabu ukilingamisha na raha atakayokupatia pindi unapomhitaji. Ukiwa na rafiki wa kike asiye na kazi, au anakazi yenye kipato kidogo, au awe mwanachuo na wengine ambao hawana kipato cha uhakika basi ujue umejiingiza kwenye tabu na shida ambayo haina sababu na tabu hiyo inaweza kukusumbua kwa muda mrefu kama hutachukuwa maamuzi magumu.

Tabu na usumbufu mdogomdogo utakaokutana nao ni kama Mizinga maarufu ambayo hutaikwepa ya masafa mafupi na mirefu, kama kuombwa hela/kifurushi, hela ya nauli, hela ya hospital, kuombwa hela ya ped, kuombwa umuongozee kodi, boom limeisha na pengine hata kodi, kusaidia kuchangia harusi ya ndugu yake/rafiki yake, kukumbushwa siku yake ya kuzaliwa nk.

Ukiona unaingia gharama hizi na nyingine za aina hii ujue umekwisha, Mwanaume makinii lazima uwe na standard za mahusiano (sio kila msichana) maana bila hivyo utapoteza muda wako, pesa na heshima yako kwenye mahusiano na jamii. Mahusiano yenye kufuata nadharia ya mshumaa huwa hayana faida kwa mwanaume bali kwa yule anayemulikiwa. Mwanaume akijua standard yake anaweza kuepuka kuingia kwenye uhusiano wa kijinga unaomnyonya.
Hii ni nadharia mfu
 
Bahati ya wanawake wote wenye maudhi na madhaifu kama hayo; huwa wako vizuri saana kunako 6×6.

Tunavumilia tu ila usiombe kupata mshirikina.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha Uchoyo ingawa sisapoti swala la ulazima wa kuhudumia asiyekuwa Mke Wako.
 
Ha
Kwa muda mrefu nimekuwa ni kijiuliza kuwa ni msichana wa namna gani ambaye naweza kufanya mahusiano naye?

Hii ni kutokana na kuchoshwa na tabia za wadada wengi ambao ukijichanganya ukafanya nao mahusiano ujuwe wazi upo kwenye tabu ukilingamisha na raha atakayokupatia pindi unapomhitaji. Ukiwa na rafiki wa kike asiye na kazi, au anakazi yenye kipato kidogo, au awe mwanachuo na wengine ambao hawana kipato cha uhakika basi ujue umejiingiza kwenye tabu na shida ambayo haina sababu na tabu hiyo inaweza kukusumbua kwa muda mrefu kama hutachukuwa maamuzi magumu.

Tabu na usumbufu mdogomdogo utakaokutana nao ni kama Mizinga maarufu ambayo hutaikwepa ya masafa mafupi na mirefu, kama kuombwa hela/kifurushi, hela ya nauli, hela ya hospital, kuombwa hela ya ped, kuombwa umuongozee kodi, boom limeisha na pengine hata kodi, kusaidia kuchangia harusi ya ndugu yake/rafiki yake, kukumbushwa siku yake ya kuzaliwa nk.

Ukiona unaingia gharama hizi na nyingine za aina hii ujue umekwisha, Mwanaume makinii lazima uwe na standard za mahusiano (sio kila msichana) maana bila hivyo utapoteza muda wako, pesa na heshima yako kwenye mahusiano na jamii. Mahusiano yenye kufuata nadharia ya mshumaa huwa hayana faida kwa mwanaume bali kwa yule anayemulikiwa. Mwanaume akijua standard yake anaweza kuepuka kuingia kwenye uhusiano wa kijinga unaomnyonya.
Hakuna formula hapo, wenye kipato.kikubwa mizinga yao ni mara kumi ya hao pangupakavu tia mchuzi. Inategemea na malezi ya bint.
 
Raha ya mwanaune ni kuhonga mzee.
Simba anakula alichokihangaikia, usipende vya kunyongwa man.
Binafsi napenda kumhudumua manzi yangu, napenda awe anasmile tuu😁
sio kaomba pesa kidogo tu unazima simu.
 
Iko hivi msomi atakupiga vizinga vya maendeleo....
Lkn mke goal keeper bana utakoma si kitoto.....mfano

ukimwambia naenda soma tena !! chuo haelewi kabisaaaa!!
Anadhani unaenda drs la kwanza...
Anaweza kula karo yako yote kiulainiii....tu.

Ni wezi sana dhidi yako. Wao wanajua ndo mda mzuri wa kutumia na mjinga..
mfano hata suruali zako anaiba.vitasa.sufuria.vijiko.unga.sukari kugawa hovyo.hwnaga bajeti na hawaIjui ..

hata ufundishe... sana wata kusema una gubu, mchoyo,kisirani,una mambo ya kike nk
..mashati yaani wana vituko si kitoto...

Japo wanaumbo zuri la kufanywa but watachukulia hiyo km siraha Yao!! Wakufanye wanavotaka me utakomaje mkaka....

Cha msingi oa mnaofanana nao...hao wanaosema eti ni sawa kupigwa mizinga na ke!! ni wazi kabisa ni wenzao wamezoeana huko uswahilini waacheni....

Nyie wamboga saba kaeni na wenzenu kizungu au hama kabisa wasikuzoee.....
 
"Baby sina pedi"
"My wangu sijala"
"Hani nitumie vocha ya airtel na halotel"
"Nina hamu na Chips"
"Ile hela ya kusuka mbona hujatuma"

Me:[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Back
Top Bottom