Ukijingiiza kwenye mahusiano na wadada wenye sifa hii umekwisha

Ukijingiiza kwenye mahusiano na wadada wenye sifa hii umekwisha

Hivi mzinga au kuhonga ni Nini? Tunafika mahali hata radha ya mapenzi inapungua kidogo tuu oooh anapiga mzinga, wanaume na wanawake lazima tutambue mapenzi ni gharama, yanagharimu muda, mali na kujitoa Kwa namna Mtu anavyoweza Ili yadumu, hakuna mapenzi ya mteremko yanayodumu, tangu enzi na enzi, huwa tunayasifia mapenzi ya baba zetu na Babu zetu wa zamani, kumbuka na wao waligharamia, wapo waliokoswa koswa kuliwa na Simba kisa mwanamke ni gharama hiyo
 
Hizo gharama zipo upande mmoja tu !!?? Kuna wanawake na kuna MANAMAKE WEWE NI JANAMKE .... Ndio maaana tunawaomba mitaro na Mnatoa shenzy
Kwani anayeanzisha mahusiano nani? Usipotaka gharama usianzishe mahusiano mbona simpo tu.
 
Kwa muda mrefu nimekuwa ni kijiuliza kuwa ni msichana wa namna gani ambaye naweza kufanya mahusiano naye?

Hii ni kutokana na kuchoshwa na tabia za wadada wengi ambao ukijichanganya ukafanya nao mahusiano ujuwe wazi upo kwenye tabu ukilingamisha na raha atakayokupatia pindi unapomhitaji.

Ukiwa na rafiki wa kike asiye na kazi, au anakazi yenye kipato kidogo, au awe mwanachuo na wengine ambao hawana kipato cha uhakika basi ujue umejiingiza kwenye tabu na shida ambayo haina sababu na tabu hiyo inaweza kukusumbua kwa muda mrefu kama hutachukuwa maamuzi magumu.

Tabu na usumbufu mdogomdogo utakaokutana nao ni kama Mizinga maarufu ambayo hutaikwepa ya masafa mafupi na mirefu, kama kuombwa hela/kifurushi, hela ya nauli, hela ya hospital, kuombwa hela ya ped, kuombwa umuongozee kodi, boom limeisha na pengine hata kodi, kusaidia kuchangia harusi ya ndugu yake/rafiki yake, kukumbushwa siku yake ya kuzaliwa nk.

Ukiona unaingia gharama hizi na nyingine za aina hii ujue umekwisha, Mwanaume makinii lazima uwe na standard za mahusiano (sio kila msichana) maana bila hivyo utapoteza muda wako, pesa na heshima yako kwenye mahusiano na jamii.

Mahusiano yenye kufuata nadharia ya mshumaa huwa hayana faida kwa mwanaume bali kwa yule anayemulikiwa.

Mwanaume akijua standard yake anaweza kuepuka kuingia kwenye uhusiano wa kijinga unaomnyonya.
Hapo umenena broo yalimkuta mwanang/wanang chuoni na tatizo ni sisi boys tuna huruma huruma za kijinga
 
Iko hivi msomi atakupiga vizinga vya maendeleo....
Lkn mke goal keeper bana utakoma si kitoto.....mfano

ukimwambia naenda soma tena !! chuo haelewi kabisaaaa!!
Anadhani unaenda drs la kwanza...
Anaweza kula karo yako yote kiulainiii....tu.

Ni wezi sana dhidi yako. Wao wanajua ndo mda mzuri wa kutumia na mjinga..
mfano hata suruali zako anaiba.vitasa.sufuria.vijiko.unga.sukari kugawa hovyo.hwnaga bajeti na hawaIjui ..

hata ufundishe... sana wata kusema una gubu, mchoyo,kisirani,una mambo ya kike nk
..mashati yaani wana vituko si kitoto...

Japo wanaumbo zuri la kufanywa but watachukulia hiyo km siraha Yao!! Wakufanye wanavotaka me utakomaje mkaka....

Cha msingi oa mnaofanana nao...hao wanaosema eti ni sawa kupigwa mizinga na ke!! ni wazi kabisa ni wenzao wamezoeana huko uswahilini waacheni....

Nyie wamboga saba kaeni na wenzenu kizungu au hama kabisa wasikuzoee.....
"Iko hivi msomi atakupiga vizinga vya maendeleo...."

Yaani nilivyo hapo, sikumalizia huko kwengine huwajui wanawake.
 
Back
Top Bottom