Ukijingiiza kwenye mahusiano na wadada wenye sifa hii umekwisha

Hivi mzinga au kuhonga ni Nini? Tunafika mahali hata radha ya mapenzi inapungua kidogo tuu oooh anapiga mzinga, wanaume na wanawake lazima tutambue mapenzi ni gharama, yanagharimu muda, mali na kujitoa Kwa namna Mtu anavyoweza Ili yadumu, hakuna mapenzi ya mteremko yanayodumu, tangu enzi na enzi, huwa tunayasifia mapenzi ya baba zetu na Babu zetu wa zamani, kumbuka na wao waligharamia, wapo waliokoswa koswa kuliwa na Simba kisa mwanamke ni gharama hiyo
 
Hizo gharama zipo upande mmoja tu !!?? Kuna wanawake na kuna MANAMAKE WEWE NI JANAMKE .... Ndio maaana tunawaomba mitaro na Mnatoa shenzy
Kwani anayeanzisha mahusiano nani? Usipotaka gharama usianzishe mahusiano mbona simpo tu.
 
Hapo umenena broo yalimkuta mwanang/wanang chuoni na tatizo ni sisi boys tuna huruma huruma za kijinga
 
"Iko hivi msomi atakupiga vizinga vya maendeleo...."

Yaani nilivyo hapo, sikumalizia huko kwengine huwajui wanawake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…