Ukijiungana na TTCL tegemea kero hizi

Ukijiungana na TTCL tegemea kero hizi

Me ndo mtandao nnaoukubali kuliko yote mbali na changamoto zote hzo
 
''Dear customer, your balance has been used up. Please, dial *148*30# for more services!''

Hii message ya kifala inaingia mfululizo wakati ndo kwanza nimejiunga bundle gb 1.2 na dk 10 zinaisha wiki ijayo!

Acheni ujinga!
Vipi na bundle inakuwaje limekata kweli
 
Heti hili shirika ndio serikali ya mwendazake ilikuwa inapanga litumiwe nchi nzima kama zile bombardiers mbovumbovu za ATCL

Kweli kifo kilitusaidia sana kumuondosha yule sanamu
Na lenyewe tutalizika si.muda liungane na boos wake
 
1. Customer care kuchelewa kupokea simu ya yako au kutokupokea kabisa.

2. Meseji kutofika kwa wakati au kutofika kabisa au kutoenda na hata ikifika ulipoituma usipate delivery report au meseji unaweza ukatuma muda huu ikifika baada ya masaa kadhaa au hata kesho yake.

3. Customer care kuwa waongo na wababaishaji.

4. Ukikwangua vocha vibaya ukafuta namba za vocha usitegemee utapata msaada ndio inakuwa imetoka hiyo wakati kuna mitandao ukifanya kosa hili ukiwasomea tu serial number wanaretrieve namba za vocha faster.

5. Ukiuliza salio sasa majibu unaweza kuyapata muda huo huo au baada ya masaa kadhaa hata kama ni zaidi ya siku.

6. Kwenye T-pesa huko ndio usithubutu kuweka au kumtumia hela kwenye hiyo huduma unaweza ukalia.

7. Vocha za TTCL kuzikuta ni mtihani unaweza kuzunguka mji/kitongoji kizima kuzitafuta.

Kwa kero hizi huwa najiuliza hivi hili shirika linajua hata nini linafanya? Ni shirika linaloongoza kwa huduma mbovu sana na sioni hata lipo kwa ajili ya nini sasa kama hata huduma haliwezi kutoa huduma za uhakikia
Hao ni kama halotel tu
 
Hivi hawa watu wa customer care huwa wanajifunzia wapi janjajanja na usanii
 
TTCL!!!! Mmmmh!!!

Ni kijiwe cha mapumziko, nobody cares, waanzishe utaratibu wa kuwalipa kwa huduma watoazo kama wao wafanyavyo kwa freelancers
 
Ntakutukana tusi zito bora unyamaze wewe
Kwa wateja wa hivi, kweli customer care lazima awe na Hekima..., Sio kwamba nawatetea hawa jamaa, ila kuna vichwa ukikutana navyo utagundua kwamba aliyesema customer is always right hakuwa right....
 
Sms unatuma leo inafika kesho ..na kujirudiarudia
 
Back
Top Bottom