Ukikataliwa na mwanamke usiumie, si jambo baya kama unavyodhani ni jambo zuri

Ukikataliwa na mwanamke usiumie, si jambo baya kama unavyodhani ni jambo zuri

Mchawi pesa tu.. Hakuna mwanamke atakukataa ukiwa na pesa.
 
Nakumbuka nilikataliwa mara ya kwanza kutongoza, niliwaza mno maana yule demu alikuwa ni mtelezo pale mtaani ila kwangu haikua hivyo, tena zaidi ya mara moja anatamka "Mimi sikupendi"

Aisee nilijiona boya 😅😅😅
 
Um
Sikumbuk kama nimewahi kukataliwa na mwanamke... Labda useme kucheleweshewa kupewa utelezi...
Vijana tafuteni pesa na maisha achaneni kuhangaika na wanawake wanawapotezea muda na maisha...
By the way huo muda wa kuhangaika na mwanamke kujenga mahusiano, utumie muda huo kujenga uchumi kwajili ya maisha yako...
Umesomeka mkuu
 
Nakumbuka nilikataliwa mara ya kwanza kutongoza, niliwaza mno maana yule demu alikuwa ni mtelezo pale mtaani ila kwangu haikua hivyo, tena zaidi ya mara moja anatamka "Mimi sikupendi"

Aisee nilijiona boya 😅😅😅
Hii kitu huwa inauma Sana,Yaani unakuta demu anayekukataa anaenda kugongwa na wahuni ambao kamwe hukuwahi fikiria Kama anaweza hata kuongea nao achilia mbali kupendana nao....ama kweli mapenzi Ni uchizi
 
Vijana wadogo wa kuanziy miaka 18- 25 ndio huwa wanamind pindi wanapokataliwa kimapenzi,ila wakishakomaa watagundua kukataliwa Ni sehemu ya maisha.
 
Nakumbuka nilikataliwa mara ya kwanza kutongoza, niliwaza mno maana yule demu alikuwa ni mtelezo pale mtaani ila kwangu haikua hivyo, tena zaidi ya mara moja anatamka "Mimi sikupendi"

Aisee nilijiona boya [emoji28][emoji28][emoji28]

Hadi leo wewe ni boya unaelea elea tu jamii fórum
 
Back
Top Bottom