mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
yeah.... my heart was beating sooo fast the whole damn day😫i thought i was losing you.....Really 🤣🤣🤣🙌
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yeah.... my heart was beating sooo fast the whole damn day😫i thought i was losing you.....Really 🤣🤣🤣🙌
relax bro.....I see ur thread u was turning 19 yrs now your 26 yrs which is which HoMie?
Aaaha are you kamwenyeso type??relax bro.....
bro nivungie, huoni niko busy na mubebe wangu?? 😂Aaaha are you kamwenyeso type??
Mubebe she is hunting u need to be serious than ever cheap always is expensivebro nivungie, huoni niko busy na mubebe wangu?? 😂
jamani mimi namuamini..... 😂Mubebe she is hunting u need to be serious than ever cheap always is expensive
How? Don't trust anyonejamani mimi namuamini..... 😂
Lovie Lady is my everything.... naweza kufa kwa ajili yake....How? Don't trust anyone
Umesomeka mkuuSikumbuk kama nimewahi kukataliwa na mwanamke... Labda useme kucheleweshewa kupewa utelezi...
Vijana tafuteni pesa na maisha achaneni kuhangaika na wanawake wanawapotezea muda na maisha...
By the way huo muda wa kuhangaika na mwanamke kujenga mahusiano, utumie muda huo kujenga uchumi kwajili ya maisha yako...
Hii kitu huwa inauma Sana,Yaani unakuta demu anayekukataa anaenda kugongwa na wahuni ambao kamwe hukuwahi fikiria Kama anaweza hata kuongea nao achilia mbali kupendana nao....ama kweli mapenzi Ni uchiziNakumbuka nilikataliwa mara ya kwanza kutongoza, niliwaza mno maana yule demu alikuwa ni mtelezo pale mtaani ila kwangu haikua hivyo, tena zaidi ya mara moja anatamka "Mimi sikupendi"
Aisee nilijiona boya 😅😅😅
💯🤝Mwanaume hujaumbwa kutetereshwa na mwanamke kwa jambo lolote.
Mwanamume hatakiwi kufanya hili kosa, kila siku tunasema mwanamke usimweke kipaumbele maishani.Unapata shida sababu unamuweka mwanamke juu yako.
Nakumbuka nilikataliwa mara ya kwanza kutongoza, niliwaza mno maana yule demu alikuwa ni mtelezo pale mtaani ila kwangu haikua hivyo, tena zaidi ya mara moja anatamka "Mimi sikupendi"
Aisee nilijiona boya [emoji28][emoji28][emoji28]
vp braza Mwizukulu mgikuru mbona umeamua kunisema mimi? ungevunga tu bro.Haya ndio mawazo anayotakiwa kuwa nayo mwanaume mwenye umri wa miaka 33 na kuendelea
Vunga😀vp braza Mwizukulu mgikuru mbona umeamua kunisema mimi? ungevunga tu bro.