Ukikosa msimamo utaona kama watu wanakupenda kumbe wanakutumikisha kwa sababu hujui kusema ' hapana "😔

Mwanasayansi Kalivubha

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2024
Posts
471
Reaction score
1,217
Tukome kupima upendo kwa idadi ya mambo tunayofanya kwa watu na tupime upendo kwa idadi ya watu wanaotuheshimu tunaposema "hapana".

Ukikosa msimamo, utatumika mpaka uchoke ila ukiujenga msimamo utaheshimiwa hata na wale waliokuwa wanakutumia jana

Kumbuka: Mlango usioweza kufungwa utaingiliwa na mtu yeyote.

Jifunze kufunga,Jifunze kusema "Hapana".

#Malenga wa Kiha
 
Ukweli mchungu 🥶🥶
 
Sawa mkuu!
 
Back
Top Bottom