The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wali naziii na maharagwe...Wali maharage haujawai kuniangusha hata siku moja,tena ukipikwa siku hiyo lazima niwahi kurudi nyumbani mapema kabisa saa moja tu usiku nimeshatia timu na wife anavyonijualia lazima ataniwekea ukoko na matandu kwa mbaliiii...
Hata wenzio yupo hivyo hivyo so siku moja moja naingia mitamboni namtolea kitu cha Nazi ya kukata...[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wali naziii na maharagwe...
Naupenda pia...
Nisipike mimi apike mwingine...
Dah...safi sana mkuu...Hata wenzio yupo hivyo hivyo so siku moja moja naingia mitamboni namtolea kitu cha Nazi ya kukata...
hata homone za vichocheo mbalimbali vinapungua kabsaa ulafi wa unapotea kabisa na huangaiki navyo tenaNakumbuka nikiwa mdogo hadi miaka ya shuleni nilikua napenda sana wali maharake, pilau na vitu kama hivyo, ilikua wali na mimi, mimi na wali.
Cha kushangaza siku hizi ugali ndio umekua kama default food yangu, ugali nyama, samaki, dagaa ama mboga za majani, ndizi choma nyama, samaki. Maharage bado nakula bila shida ila wali umenishinda kabisa.
Nikafikiri ni mimi tu nakabiliana na hilo tatizo, jana nimekutana na classmate wangu akaniambia tatizo hilo hilo kwamba wali umemshinda kabisa sasa chakula chake kikuu ni ugali.
Wakuu kuna mtu anapitia changamoto kama hii ya kupoteza interest ya baadhi ya misosi aliyokua anaipenda?
Mimi wali na maharage niukute kwenye mkusanyiko wa watu/shughuli...halafu kuwe na chachandu pembeni🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wali naziii na maharagwe...
Naupenda pia...
Nisipike mimi apike mwingine...