Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiona kitambaa chekundu unaisi kuna wachawi apo.Ukiwa maskini,alafu unateswa na imani za kishirikina,utapata tabu sana maishani mwako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee, naomba ufafanue maneno yako plz! Nawaza pata point nzuri hapaUkiwa maskini,alafu unateswa na imani za kishirikina,utapata tabu sana maishani mwako.
Hapo sasa..Kama papuchi yenyewe unakula sasa shida ya ndizi iko wapi ? Kula tu.
😀😀Kama papuchi yenyewe unakula sasa shida ya ndizi iko wapi ? Kula tu.
Hata kama mwanamke mwenyewe ni mama yako?Nasikia kuna hii kitu huzungumzwa sana na watu hasa wanaume je ni kweli ukikuta ndizi kwenye geto la mwanamke usiile? Na kwa nini?
Wajuzi wa mambo nifumbueni.