Ukikuta ndizi nyumbani kwa mwanamke usile

Ukikuta ndizi nyumbani kwa mwanamke usile

Tena siku hizi kuna vibomba vile vya chooni
 
Ndugu mjumbe huna hata kapicha ka ndizi, mana I'm too confused what a ndizi look like.
 
Ukiwa maskini,alafu unateswa na imani za kishirikina,utapata tabu sana maishani mwako.
 
Ndio hiyo
Screenshot_20190513_230851.jpeg
 
Ukiwa maskini,alafu unateswa na imani za kishirikina,utapata tabu sana maishani mwako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee, naomba ufafanue maneno yako plz! Nawaza pata point nzuri hapa
 
Nasikia kuna hii kitu huzungumzwa sana na watu hasa wanaume je ni kweli ukikuta ndizi kwenye geto la mwanamke usiile? Na kwa nini?
Wajuzi wa mambo nifumbueni.
Hata kama mwanamke mwenyewe ni mama yako?
 
Back
Top Bottom