Ukikuta texts zake anatukana na alivyo ni tofauti. Ila ukija tena kutukuta utatushangaa...Sijui inakuaje hii

Si wewe unamchekeachekea huna msimamo.
Ndio maana anapata kujiamini sana na kukuendesha. Akikuhitaji ww unaenda.. ukimuhitaji ww anazingua.
Anataka yeye ndio akutawale. Tupa kule
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sielew bond yetu inatokana na nini...huwa nikiwaza sipati majibu. Na demi hajawah omba hata shilling na sometime nikimpa nauli ananambia ninayo ukitaka nipe siku nyingine mi siuzi k**a.

 
Sijui hiyo ya nikimhitaji yeye anazingua umetoa wapi.mbona nmeandika kiswahili nacho hujaelewa? Ualimu mgumu sana. Ndo maana nsingeweza kuwa mwalimu.

Si wewe unamchekeachekea huna msimamo.
Ndio maana anapata kujiamini sana na kukuendesha. Akikuhitaji ww unaenda.. ukimuhitaji ww anazingua.
Anataka yeye ndio akutawale. Tupa kule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Piaa unawezaje kupata Mzuka wa kusex na mtu mnatukanana na kuzinguana hasa mnapokutana kwenye sex..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji15][emoji15] yani me demu wa hivyo kimsingi namuogopaa naona hata Ngoma kukupa dak sifurii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23] nimecheka kweli. Mnaendana huyo usimuache
 
Ngoma anaweza kukupa hata demu anayekuita wewe mungu wake.acha tu huyu tunayegombana naye... Usikariri.
 
Ngoma anaweza kukupa hata demu anayekuita wewe mungu wake.acha tu huyu tunayegombana naye... Usikariri.
Yeyotr anakupaa lakini elewa mazingiraa ya jamaa sasa Demu anamtumia tu msg twende tukatom...ne unadhani huwaga anakaa tu na nyege muda wote huo akisubiri kumwambia jamaa??? Kudate na mtu serious inapunguza chance ya kufokonyolewa na watu ovyoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa ndio wale watu hawajui bahati zao
Ningekuwa na dem wa hivyo
Niingeomba kifo tu kwa mungu maana vingine vyote nishapata
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…