Pisi omba omba haina aibu mkuu ni omba omba tu wala romantic girls never ask for excuses.Siku hizi pisi hazigomi kutoa namba.
Pisi ikiona haumvutii inakupa namba ila ghafla inaanza kua omba omba mara utaskia kodi imeisha, simu imepasuka kioo au mic imekufa, mama ake anaumwa, luku imefika zamu yake kuchangia na hana hata mia, wiki inayokuja ana birthday party anaomba usimamie show...
Yani ilimradi tu ukose pozi utemane nae.. Lakini kama amekuelewa mwenyewe utaona anajishtukia hata kuomba vocha.
Wanakera sana, mnakutana tu gas inaisha, mama anaugua, nywele zinafumuka, rent inaisha na simu inavujiaπππ Salaam jukwaa la MMU....
Nimeanza na kucheka maana demu unakutana naye mchana eti hajala, demu wa hivi ungekutana naye asubuhi si angeomba mswaki....π€£
Yaani kisa ukali wake anajeuka kuwa yatima, huwa inakuwaje kwa hawa mabinti.
Tafiti zinaonesha wengi huwa ni 20 to 27 Aged ndiyo wana hizo pigo za kugeuka mayatima. π
Hili ni angalizo natoa kwa vijana sio kila pisi kali unaomba namba.
Mambo ya kutongoza hizi pisi za JF ndio nilishakataaga. Mtu kuanzia picha mpaka ID ni fake na anonymous halafu bado unajipeleka tu!Wengine hata hapa JF hamjaonana anataka umtumie vocha
kila kitu fakeHawa ndiyo balaa zaidi.
Na kuna wengi sana wanaingia King huwezi aminiMambo ya kutongoza hizi pisi za JF ndio nilishakataaga. Mtu kuanzia picha mpaka ID ni fake na anonymous halafu bado unajipeleka tu!
Humu wapo wengi sanaWengine hata hapa JF hamjaonana anataka umtumie vocha
Ishu sio kuombwa hela... ila hela inatokaje maana hela bila mipango sio hela ni anasaTongozeni huko maoficin kwenu. Au kwenye semina za kikazi. Ama na nyie kazi zenu ni za kuunga unga ndio maana mnaumia sana mkiombwa hela?
Kabisa mkuuHumu wapo wengi sana