Ukikutana na demu mkali ghafla anakuwa Maskini kwako

Ukikutana na demu mkali ghafla anakuwa Maskini kwako

Ni miradi hiyo
Unakuta ana namba 40 na kila wiki ana hela za kutosha kulisha familia nzima

Hiyo alfutatu yako wengine wanatuma pia
Miamala inasoma tu
 
😁😁😁 Salaam jukwaa la MMU,

Nimeanza na kucheka maana demu unakutana naye mchana eti hajala, demu wa hivi ungekutana naye asubuhi si angeomba mswaki?

Yaani kisa ukali wake anajeuka kuwa yatima, huwa inakuwaje kwa hawa mabinti.

Tafiti zinaonesha wengi huwa ni 20 to 27 Aged ndiyo wana hizo pigo za kugeuka mayatima. 😂

Hili ni angalizo natoa kwa vijana sio kila pisi kali unaomba namba.
Si kila king’aacho ni dhahabu
 
Ishu sio kuombwa hela... ila hela inatokaje maana hela bila mipango sio hela ni anasa

Tunakutana Leo

Leoleo umeme umeisha, bill ya maji unadaiwa, unataka usuke, bando limeisha, Huna nauli, hujala and so on..

Yaani mtongozo mmoja unazalisha mambo yote hayo? Kabla ya kukutana ulikuwa unaishije...
Hii ni balaa tupu.
 
Back
Top Bottom