Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Si kila king’aacho ni dhahabu😁😁😁 Salaam jukwaa la MMU,
Nimeanza na kucheka maana demu unakutana naye mchana eti hajala, demu wa hivi ungekutana naye asubuhi si angeomba mswaki?
Yaani kisa ukali wake anajeuka kuwa yatima, huwa inakuwaje kwa hawa mabinti.
Tafiti zinaonesha wengi huwa ni 20 to 27 Aged ndiyo wana hizo pigo za kugeuka mayatima. 😂
Hili ni angalizo natoa kwa vijana sio kila pisi kali unaomba namba.
Hii ni balaa tupu.Ishu sio kuombwa hela... ila hela inatokaje maana hela bila mipango sio hela ni anasa
Tunakutana Leo
Leoleo umeme umeisha, bill ya maji unadaiwa, unataka usuke, bando limeisha, Huna nauli, hujala and so on..
Yaani mtongozo mmoja unazalisha mambo yote hayo? Kabla ya kukutana ulikuwa unaishije...
sio kitoto mkuuHii ni balaa tupu.
Id fake ... Utakuja kukutana na Demu ni kibwengoMambo ya kutongoza hizi pisi za JF ndio nilishakataaga. Mtu kuanzia picha mpaka ID ni fake na anonymous halafu bado unajipeleka tu!