Tenda wema nenda zako.... Usipo lipwa wewe watalipwa uzao wako, wema hauozi....Ukikutana na mbwa njiani kabondwa kaumizwa anatia huruma anataka umuhurumie . Chukua Jiwe lingine mbonde fukuza akafie mbele au kama unahuruma sana na mbwa muangalie tu then ongeza mwendo
Tafadhari usije ukajiroga ukamchukua na kumpeleka nyumbani kwako ...nakuahidi pindi akipona hayo majereha na awe na nguvu atakuuma tena bila huruma na utajutia msaada wako.
By the way huu uzi hauhusiani na mbwa.
Hata ubaya ni hiyari sio lazimaWema ni hiyari mkuu sio lazima
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tumeanza kujadili mbwa jukwaa la MMU
Hii nchi hii
Mbwa wengine mko nao majumbani mwenu😂😂😂Ki kweli kapigwa cos alionywa aachane na yule mbwa akajifanya yeye ni snoop dog dog [emoji3][emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbwa wengine mko nao majumbani mwenu[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukikutana na mbwa njiani kabondwa kaumizwa anatia huruma anataka umuhurumie . Chukua Jiwe lingine mbonde fukuza akafie mbele au kama unahuruma sana na mbwa muangalie tu then ongeza mwendo. Maana huwezi jua huyo alie mpiga na kumuumiza hivyo alimfanyia nini huyo mbwa, Huenda hata aliua kuku banda zima.
Tafadhari usije ukajiroga ukamchukua na kumpeleka nyumbani kwako ...nakuahidi pindi akipona hayo majereha na awe na nguvu atakuuma tena bila huruma na utajutia msaada wako.
By the way huu uzi hauhusiani na mbwa. Mtoto wa kiume usijifanye unahuruma sana utaumia na kudharaulika.
Hujaitoa humu kweli?Ukikutana na mbwa njiani kabondwa kaumizwa anatia huruma anataka umuhurumie . Chukua Jiwe lingine mbonde fukuza akafie mbele au kama unahuruma sana na mbwa muangalie tu then ongeza mwendo. Maana huwezi jua huyo alie mpiga na kumuumiza hivyo alimfanyia nini huyo mbwa, Huenda hata aliua kuku banda zima.