Ukikutana na mbwa njiani

Ukikutana na mbwa njiani

Dumuzii

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2019
Posts
3,593
Reaction score
8,595
Ukikutana na mbwa njiani kabondwa kaumizwa anatia huruma anataka umuhurumie. Chukua Jiwe lingine mbonde fukuza akafie mbele au kama unahuruma sana na mbwa muangalie tu then ongeza mwendo. Maana huwezi jua huyo alie mpiga na kumuumiza hivyo alimfanyia nini huyo mbwa. Huenda hata aliua kuku banda zima.

Tafadhari usije ukajiroga ukamchukua na kumpeleka nyumbani kwako, nakuahidi pindi akipona hayo majereha na awe na nguvu atakuuma tena bila huruma na utajutia msaada wako.

By the way, huu uzi hauhusiani na mbwa. Mtoto wa kiume usijifanye unahuruma sana utaumia na kudharaulika.
 
Ukikutana na mbwa njiani kabondwa kaumizwa anatia huruma anataka umuhurumie . Chukua Jiwe lingine mbonde fukuza akafie mbele au kama unahuruma sana na mbwa muangalie tu then ongeza mwendo

Tafadhari usije ukajiroga ukamchukua na kumpeleka nyumbani kwako ...nakuahidi pindi akipona hayo majereha na awe na nguvu atakuuma tena bila huruma na utajutia msaada wako.

By the way huu uzi hauhusiani na mbwa.
Tenda wema nenda zako.... Usipo lipwa wewe watalipwa uzao wako, wema hauozi....
 
Bado nakula too zetu hamutoshi
Mnaanza kutita Mbwa, sawa tutakutana kaburini..
 
Pole sana kwa yaliyo kukuta..Maumivu huponywa na muda,utapoa tu na kuirudia hali yako ya kawaida.
 
Mchumba hasomeshwi ila mnakazaga ubonvo tu
Ukikutana na mbwa njiani kabondwa kaumizwa anatia huruma anataka umuhurumie . Chukua Jiwe lingine mbonde fukuza akafie mbele au kama unahuruma sana na mbwa muangalie tu then ongeza mwendo. Maana huwezi jua huyo alie mpiga na kumuumiza hivyo alimfanyia nini huyo mbwa, Huenda hata aliua kuku banda zima.

Tafadhari usije ukajiroga ukamchukua na kumpeleka nyumbani kwako ...nakuahidi pindi akipona hayo majereha na awe na nguvu atakuuma tena bila huruma na utajutia msaada wako.

By the way huu uzi hauhusiani na mbwa. Mtoto wa kiume usijifanye unahuruma sana utaumia na kudharaulika.
 
Hujaitoa humu kweli?
Screenshot_20220831-143040.jpg
 
Back
Top Bottom