Yahitaji moyo wa wanajeshi wa boko haram tofauti na hapo sio kwa mbwa
hawa tunaowakuta barabarani wanavyotia huruma,ushawahi muona mbwa aliepgwa
jiwe ule mlio wake kama mlango uliokosa kitasa,maumivu una ya feel wewe sasa kwann
usimsaidie,yahitaji moyo sana kumuongezea maumivu au kumpita bila kupunguza maumivu yake walau kidogo.
ikitokea kaniuma sio mbaya pia,always Ukiwa baba mwenye nyumba huwezi sumbuliwa na mbwa mgeni ''mbwa wenyeji wapo'' unafungulia banda tu anachangiwa na mbwa wenzie anarudi mtaani alipotoka na majeraha mara mbili yake.