Ukikutana na Wewe wa miaka 18 utamwambia nini?

Me sjajutia chochote mpk sasa maana yoote hupangwa na Mungu, hiv nlivyo ilipangwa niwe hvi sjakosea wala sjapoteza.​
 
Mwali kigoli haiba kama yote.

Miaka imekwenda wapi Mamndenyi.
 
Nitajiambia ishi maisha ambayo kila mtu hawezi jua kipato chako, mishe zako za siri, na kila mtu awe rafiki yako ila mazoea yasizidi
#respect
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…