Ukikutana na Wewe wa miaka 18 utamwambia nini?

Ukikutana na Wewe wa miaka 18 utamwambia nini?

Me sjajutia chochote mpk sasa maana yoote hupangwa na Mungu, hiv nlivyo ilipangwa niwe hvi sjakosea wala sjapoteza.​
 
Nitajiambia ishi maisha ambayo kila mtu hawezi jua kipato chako, mishe zako za siri, na kila mtu awe rafiki yako ila mazoea yasizidi
#respect
 
Back
Top Bottom