Ukikutana na your date ambaye yupo tofauti na picha zake anazokutumia utafanyaje?

Ukikutana na your date ambaye yupo tofauti na picha zake anazokutumia utafanyaje?

Sana nitamshukuru kukutana nae, vile alivyo ni uhalisia wake ambao amejaliwa kama mimi na mwingine tulivyo jaliwa kumhukumu mtu vile alivyo sio vizuri kwani hakuna aliye request awe hivi au vile, ni majaliwa tu.
 
Natoa simu mfukoni namwambia "mimi nimempenda huyu kwenye picha na siyo wewe"

Akisema ndo yeye naenda kununua kioo naweka kioo mbele yake ajiangalie alafu alinganishe sura yake halisi na picha yake aliyonitumia.
 
Back
Top Bottom