Ukikutana na your date ambaye yupo tofauti na picha zake anazokutumia utafanyaje?

Ukikutana na your date ambaye yupo tofauti na picha zake anazokutumia utafanyaje?

Ndicho kilichonikuta nlitongoza mdada kwny group akakubali picha akawa anatuma kama zote bt alinambia yupo south africa anafanya kaz za ndan kwa ndugu yao nikamshawish akashinikza wenyeji wake wamsafirishe kweli walimsafirisha kwa shingo upande alipofka dilishangaa yuko tofauti na yule niliyekuwa namuona kwny pcha daaah niliamua tu kuishi ukzngatia aliacha kaz south kwaajili yng mpk leo npo nae na tuna mtoto 1 bt ukweli skumpenda ila tafanyaje sasa ila ye ananipenda sn nashukuru sina wivu kwake kbs so nakuwa na amani hata akienda wp sjiskii wivu kwmb tagongewa
 
Yani unaagiza Pizza linaletwa beseni la makande.

Unajua mara nyingi mkikutana mitandaone siku ya kuonana ana kwa ana ni 5% tu ya watu hujikuta wote wanaendelea kuridhiana,wengi lazima mmoja amuelewe mwenzie na mwingine aone kakutana na kituko.
 
Back
Top Bottom