Strong and Fearless
JF-Expert Member
- Apr 24, 2017
- 815
- 1,983
Haha haya mambo ya mitandao ni nyokko sanaJe ukienda kwenye a date na mtu ambaye mlikua mnachat tu na mkafika stage ya kulike each other, ukamuona yupo tofauti na kwenye picha zake je utafanyaje?
Utaondoka na kumpotezea Au utamwambia ukweli?
Lkn kuongea ukweli ni juu yakoSana nitamshukuru kukutana nae, vile alivyo ni uhalisia wake ambao amejaliwa kama mimi na mwingine tulivyo jaliwa kumhukumu mtu vile alivyo sio vizuri kwani hakuna aliye request awe hivi au vile, ni majaliwa tu.
Wewe tenaNitapiga nae story, ikiwezekana tuwe marafiki.
Na huenda kuna kitu kingine kinaweza jitokeza kikafanya nivutiwe naye tena.
Ndio mkuu hili ni jambo dogo tu halisumbuiWewe tena
KimbiaJe ukienda kwenye a date na mtu ambaye mlikua mnachat tu na mkafika stage ya kulike each other, ukamuona yupo tofauti na kwenye picha zake je utafanyaje?
Utaondoka na kumpotezea Au utamwambia ukweli?
Real definition of being down-badNdio mkuu hili ni jambo dogo tu halisumbui
Picha zinadanganya.. Ona kitu halisi kwanza ndio uamueJe ukienda kwenye a date na mtu ambaye mlikua mnachat tu na mkafika stage ya kulike each other, ukamuona yupo tofauti na kwenye picha zake je utafanyaje?
Utaondoka na kumpotezea Au utamwambia ukweli?