Zabron Hamis
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 7,093
- 11,377
Je ukienda kwenye a date na mtu ambaye mlikua mnachat tu na mkafika stage ya kulike each other, ukamuona yupo tofauti na kwenye picha zake je utafanyaje?
Utaondoka na kumpotezea Au utamwambia ukweli?
Alikuwa anakutumia mapicha ya jamaa mmoja handsome, au alikuwa anakutumia picha za.kijana mmoja tajiri?Je ukienda kwenye a date na mtu ambaye mlikua mnachat tu na mkafika stage ya kulike each other, ukamuona yupo tofauti na kwenye picha zake je utafanyaje?
Utaondoka na kumpotezea Au utamwambia ukweli?
Ulitaka akutumie picha amefubaa? 😂Je ukienda kwenye a date na mtu ambaye mlikua mnachat tu na mkafika stage ya kulike each other, ukamuona yupo tofauti na kwenye picha zake je utafanyaje?
Utaondoka na kumpotezea Au utamwambia ukweli?