Keren_Happuch
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 1,874
- 935
tukitaabika ndo tunamkumbuka ....lol!!
akitupa raha tunasahau hata kama yupo, hadi tena atukumbusheee...
ni sehemu ya maisha bana, shida kidogo raha kidogo, wengine shida kwa kwenda mbele basi alimradi vururuvururu...
wee biggy hebu mwache Mungu bana! humuwezi
"with fire we test gold, with gold we test our servants"....(usiniulize nimemkoti nani...ni maneno ya Mungu hayo)
Hahahahah.........Dah...hayo maneno ya Mungu mi hoi.....Lakini Mamushka, tukiwa na raha tukamsahau, bado sia ana uwezo wa kutukumbusha bila kutuumiza?...........Yeye si ana nguvu zote? Hivi wewe mwanao akikusahau ucamchapa au unamuuliza kwa upole kwanini kakusahau?tukitaabika ndo tunamkumbuka ....lol!!
akitupa raha tunasahau hata kama yupo, hadi tena atukumbusheee...
ni sehemu ya maisha bana, shida kidogo raha kidogo, wengine shida kwa kwenda mbele basi alimradi vururuvururu...
wee biggy hebu mwache Mungu bana! humuwezi
"with fire we test gold, with gold we test our servants"....(usiniulize nimemkoti nani...ni maneno ya Mungu hayo)
Angekunasa kibao kwa kumsingizia uongo kwakuwa mimi ni baba yake baba yako.....Mi ni wa upande wa kiumeni
Hujambo Bombu mpenzi? Mwache Mungu aitwe Mungu, na aendelee kukaa hukohuko aliko.
Hivi kumbe hujui mjukuu ni mpenzi wa babu? Siliondoi mpenzi mjukuu wangu.Sijambo babu, ila hiyo mpenzi iondoe kwanza ili nikupe shikamoo. Bado naandika maswali ya kuuliza coz ninayo mengi sana
Hahahahaha hasa wewe uliyezaliwa mwaka 1986......... ndo kipindi chako cha kula raha.... hutaki kufa kabisaaaaa, sembuse kuzeeka LOLMi ningemwuliza Mungu kwa nini 2nazeeka na kuwa wa bibi na wababu? C ange2acha2 na ujana wetu 2endelee kufaidi dunia na bila kufa?
Hahahahah.........Dah...hayo maneno ya Mungu mi hoi.....Lakini Mamushka, tukiwa na raha tukamsahau, bado sia ana uwezo wa kutukumbusha bila kutuumiza?...........Yeye si ana nguvu zote? Hivi wewe mwanao akikusahau ucamchapa au unamuuliza kwa upole kwanini kakusahau?
Hahahahah.........Dah...hayo maneno ya Mungu mi hoi.....Lakini Mamushka, tukiwa na raha tukamsahau, bado sia ana uwezo wa kutukumbusha bila kutuumiza?...........Yeye si ana nguvu zote? Hivi wewe mwanao akikusahau ucamchapa au unamuuliza kwa upole kwanini kakusahau?
Aisee!Sijambo babu, ila hiyo mpenzi iondoe kwanza ili nikupe shikamoo. Bado naandika maswali ya kuuliza coz ninayo mengi sana
Mamushka haya maneno ya Busara ya Mungu huwezi yaandika kwa kikwetu nikupate zaidi...lolGod's tests are the healing medicine of those who are nigh unto Him, His sword is the ardent desire of all them that love Him, His dart is the dearest wish of those heartsthat yearn after Him, His decree is the sloe hope of them that ave recognized His truth.....
kama vipi kafanye marudio ya katekisimu biggy....
Hommie kuna ile amri ya "Usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako" hivi kulitaja bure ndo inakuaje?Wapendwa marafiki salamu,
Jana nlimpigia simu rafiki yangu. Alipokea akiwa na simanzi kubwa. Kumbe ndio alikuwa kapokea habari ya msiba wa kaka yake. Alikuwa analia na kuongea kwa shida. Nilihuzunika kwa niaba yake..........kama si nguvu ya Tusker Malt labda nami ningemwaga chozi. Mnywaji mwenzangu akashangaa kwanini nimepata simanzi ya ghafla, nikamsimulia.
Huyu mtu akaniambia neno ambalo limenifanya nitafakari kwa kina usiku kucha......... Namnukuu: "Ndugu yangu, Mwache Mungu aitwe Mungu na aendelee kukaa hukohuko aliko maana ningepata nafasi ya kukutana naye sasa hivi ningemuuliza KWANINI ULIMCHUKUA BABA YANGU nikiwa bado mdogo nikataabika namna ile?"........ Nilichoka na mpaka sasa nimechoka.....Jamaa alivyonisimulia maisha yake, jinsi mama yake alivyohangaika.......Kweli kila mtu ana swali lake.....Dah!
Nami najiuliza.... Hivi ningepata nafasi ya kukutana na Mungu akanipa nafasi ya kumuuliza au kumwambia chochote ningemwambia na kumuuliza nini?.....
Kwanza ningeanza na shukrani:
Ahsante kwa kuniumba Mwanaume..... manake angeniumba mwanamke ningemuuliza kwanini ameniumba mwanamke.
Ahsante kwa kunipa mke mzuri (japo kwa ubinadamu wangu huwa natelezaga) na mabinti wawili wazuri.
Ahsante kwa kunipa wazazi wanaonipenda na kunijali sana
Ahsante kwa kunipa ndugu, marafiki, majirani tunaoheshimiana na kupendana sana.
Then lazima ningemuuliza;
Kwanini tatizo hili limetokea kwenye familia yetu?..... Kwanini kwetu?......... Ningemuuliza mbona kila siku tunakuomba kwenye maombi/sala utuondolee hili tatizo lakini huliondoi?........Lazima ningemuuliza...Niape?
Kuna mtu mwingine huku angekuwa na Swali kama angekutana na Mungu na kupewa nafasi ya kumuuliza?
Kama alivyonambia ndugu yangu, mwacheni Mungu aitwe Mungu......... Na aendelee kukaa huko aliko.
AMINA.
Leo ODM yuko kimajonzi zaidi.
Harudi kitandani wala nini. Anajiuliza tu.
Katekisimu mamushka haina majibu kutoka kwa Mungu.........Katekisimu si kaandika binadamu? Mi nataka Mungu anijibu direct... kama alivyoongea na Musa na Nuhu anipe na mimi nafasi kidogo ya kumuuliza japo kaswali kamoja. Au nimwombe kitu kimoja......God's tests are the healing medicine of those who are nigh unto Him, His sword is the ardent desire of all them that love Him, His dart is the dearest wish of those heartsthat yearn after Him, His decree is the sloe hope of them that ave recognized His truth.....
kama vipi kafanye marudio ya katekisimu biggy....
Sasa rafiki ukimuuliza kwa ukali si ndio atakuogopa na kutokomea moja kwa moja?........Kama unampenda mwanao utamwachaje atokomee moja kwa moja? Labda kama humpendi. Mi naamini Mungu anatupenda, kwanini anamwacha shetani atufanyie visa? Kwanini asimuue atuache tujinafasi?Rafiki, inategemea mwanao amekusahau kwa namna ipi.....maana kama ndo ameamua kuhamia kwa jirani kabisa na wala hakumbuki hata kama kuna baba....hivi hapo utamuuliza kwa upole kweli????!! Lazima utakuwa mkali kidogo....najaribu kuwaza tu....mhhhh!!!
Hawezi kunipiga kwa kuwa ananipenda na ameniambia: Tafuteni nanyi mtapata..... Namtafuta, nataka nimpate anijubu maswali yangu......Asprin unatafuta makwenzi kutoka kwa huyo unayemtaja taja
Ewaaaa, siku ukifanikiwa kukutana naye jaribu kumuuliza. Au na wewe utaogopa kama mamushka?Hommie kuna ile amri ya "Usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako" hivi kulitaja bure ndo inakuaje?
Siamini kama nimelitaja bure. Nataka nimjue zaidi. Nimuulize maswali. Anisaidie.......Ila amesema usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako si unaikumbuka hii amri na amesisitiza kabisa
Huoni hapa unamtajja taja bure
Bombu mpenzi kuwa na amani.... sitakuita tena hivyo.....Samahani kama nimekukwaza.