Ukikutana naye........UTAMUULIZA?

I love Jane.
 
Mkuu nenda tuu kwenye lile jukwa la dini uangalie maswali ya kuuliza au kutouliza maana hapa sana sana ni MMU

Mimi nitauliza chochote kile na hakuna wa kunizuia, si wewe wala huyo mchaga G
 
I love Jane.

Jane is selfish....but Mickey is a crap!
 
Mimi nitauliza chochote kile na hakuna wa kunizuia, si wewe wala huyo mchaga G

Mkuu naona haina haja kujibu tena maana naona dhamiri yako inataka kufikia lengo fulani na u can ask whatever u want and hope watakuwepo watakaokujibu ila mimi najiondoa
 
Mkuu naona haina haja kujibu tena maana naona dhamiri yako inataka kufikia lengo fulani na u can ask whatever u want and hope watakuwepo watakaokujibu ila mimi najiondoa

Usijali sana kamanda wangu. Njoo tupate mchemsho basi hapa kwa Afande.
 
I love Jane.

Jane is selfish....but Mickey is a crap!

Joyce is the crappiest!
 
now, that charles is ccm member! yaani anampamba Mungu,sjui anataka kumuomba nini?

I love Jane.

Wee mchaga wa mviringo niache tafadhali.
Zaidi ya kujifanya unanijua utanifanya nini??
we unaambiwa kaulize habari za mke wa mungu kule kwa Maxshimba,
kutaka kuonyesha unanijua sana sio issue!! watu wengi tu wananijua itakuwa wewe!!!

Stuka!!!
 
Mkuu naona haina haja kujibu tena maana naona dhamiri yako inataka kufikia lengo fulani na u can ask whatever u want and hope watakuwepo watakaokujibu ila mimi najiondoa
Mkuu, mi hawa nawapendaga sana!!
kama ananijua so what??
Hata Eliza wa JJ ananijua.
 
Zaidi ya kujifanya unanijua utanifanya nini??
we unaambiwa kaulize habari za mke wa mungu kule kwa Maxshimba,
kutaka kuonyesha unanijua sana sio issue!! watu wengi tu wananijua itakuwa wewe!!!

Stuka!!!

Sina la kukufanya na wewe huna la kunifanya kwa hiyo chapa mwendo tu bwana G, au siyo?
 
I love this post... THANK YOU GY... It shows how we are diverse in all aspects of life...
What each wants... What thoughts zinatawala vichwani... What we are made of..
i.e.. Selfish... Love... Sensitive... Curiosity.. Considerate... Desparate... and the like...
And most importantly... what is important in ones life... hasa kama he believes there is a God to provide...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…