Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sorry kamanda, kuna mtoro wa jukwaa la mastress alihamia huku ghafla, nikajikuta nimekuwa addiktedi na mastresi.......
Hahahaha...Ally wa Kitaa alitaka tuhamie jukwaa la dini, tuanze kujadili uwepo wa Mungu.....khaaa!Ya kule yaache kule kule bana huku ni stress freee
yule jamaa nilimuonya na niliona alitaka hii topic ihamishiwe kule kwa wale wabishani wasioridhika na stress full
Hahahaha...Ally wa Kitaa alitaka tuhamie jukwaa la dini, tuanze kujadili uwepo wa Mungu.....khaaa!
Ya kule yaache kule kule bana huku ni stress freee
yule jamaa nilimuonya na niliona alitaka hii topic ihamishiwe kule kwa wale wabishani wasioridhika na stress full
Mr.Rocky niaje kaka?
Hivi mungu ana mke?
Safi Mkuu mambo niaje pande hizo
Mhhh swali lako hapo juu unataka Mungu akupige kwenzi wewe
Kwani mungu anakasirikaga?
Hivi unamtaka wa kazi gani
We uliza kile unachotaka na kile unachoona kinafaa kuuliza mambo mengine anaweza kukugeuza kichwa kiangalie masaburi bure
Yote ninayouliza yanafaa kuulizwa. Kwa nini lakini wewe Mr. Rocky hutaki mimi nimuulize mambo mengine?
Mkuu hili ni jukwa la MMU na kuna jukwa la mambo ya dini kule ambako ni full stress
Sasa tumeiweka humu hii iendane na maswala ya MMU yaani stress free
sasa ukiuliza yale mengine yule mtu asiyeonekana anaweza kukasirika ahaihamishia kule kwenye stress tukakosa uhondo
Sasa ni yapi ambayo sipaswi kuuliza kwenye hii mada na ni vigezo gani vinavyotumika kuamua kama maswali yangu yanafaa au hayafai?
yanayoingia kwenye masuala ya dini sana au yanayohoji uwepo wa Mungu mwenyewe au uwepo wa binadamu na uwezo wa Mungu
mbona mzito sana kuelewa?Sasa ni yapi ambayo sipaswi kuuliza kwenye hii mada na ni vigezo gani vinavyotumika kuamua kama maswali yangu yanafaa au hayafai?