Ukikutwa umeidondosha Benzi chali unalipwa dola milioni mia

Ukikutwa umeidondosha Benzi chali unalipwa dola milioni mia

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Katika ubora Wa watengenezaji Wa GARI za mercides Benz!
Waliwahi kuahidi katika moja ya matoleo yao kwamba; endapo kuna Mteja wao yeyote atayekutwa kapata ajali halafu GARI ikutwe Chali mataili juu;
Waliahidi kumlipa fidia Mteja dola za kimarekani million mia moja cash pamoja na kumpa gari nyingine Mpya!
Nini jeuri ya hawa jamaa kutoa offa ile; ili hali TOYOTA HATA GARANTII YA WIKI HAWATOI?
mercedes-c-class-coupe-interior.jpg
 
dmkali upo sahihi mercedes benz huwezi kuikuta matairi manne juu hata BMW X 5 na 6 tangazo lipo Cape town, water front bm deller...
"Huwezi kuikuta matairi manne juu" ? Hata kama vitu vingine vina ubora wake sio vibaya tukijiongeza kidogo ,za kuambiwa changanya na zako ,

Mimi nishaiona X 5 iko chali
 
Wana uhakika, chombo imepitia vipimo vya kutosha na imethibitishwa ipo stable.

Lakini cjui kama hiyo offer huku bongo ilisikia, huku mpaka ma excavator, magreda na madampa yanapiga miguu juu ,, ijekua kijibenzi
Hapo kweny magreda [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ss Mkuu linadondokaje greda na linavyotembea taratbu vile
 
Hapo kweny magreda [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ss Mkuu linadondokaje greda na linavyotembea taratbu vile
Mkuu hii ndio bongo bhana , hakuna linaloshindikana nduu,
Ngoja nikupe mfano
Hiv ushawah kuona umeme umegoma kupita juu ya makaburi
 
"Huwezi kuikuta matairi manne juu" ? Hata kama vitu vingine vina ubora wake sio vibaya tukijiongeza kidogo ,za kuambiwa changanya na zako ,

Mimi nishaiona X 5 iko chali
"Huwezi kuikuta matairi manne juu" ? Hata kama vitu vingine vina ubora wake sio vibaya tukijiongeza kidogo ,za kuambiwa changanya na zako ,

Mimi nishaiona X 5 iko chali
"Huwezi kuikuta matairi manne juu" ? Hata kama vitu vingine vina ubora wake sio vibaya tukijiongeza kidogo ,za kuambiwa changanya na zako ,

Mimi nishaiona X 5 iko chali
mkuu hilo Tangazo ni la muda kwa mercedes benz na pia baada ya kuwa watengenezaji wengi na baadhi ya magari kupungua ubora wamebaki na baadhi tuu...ndio maana japan aliondolewa kibalu cha kutengeneza mercedes maana alikua anafyatua zisizo na ubora na pia wao wana chasesi namba ambazo wanajua zipo katika ubora... Africa ajali za magari madogo zipo Gauteng province sikumbuki kama nishawahi kuiona scrape mercedes iliyokalia...
 
Mkuu hii ndio bongo bhana , hakuna linaloshindikana nduu,
Ngoja nikupe mfano
Hiv ushawah kuona umeme umegoma kupita juu ya makaburi
We Jamaa umefanya watu wanishangae kwa kicheko peke yangu[emoji23] [emoji23]
 
mimi naona sababu ni madereva, kwan madereva wengi wa benz na hizo bmw ni watu wa makamo na wanajitambua na ndo mana mwendo wao unakuwa wa kistarabu. lakini hizi gari wakipewa machalii wa subaru na alteza utaniambia, lazima zipingule kifo cha mendeee.kwa bongo inawezekana kabisa afu sema hiz gar ni chache sana ukilonganisha na matoyotaaaa na ndo mana atuoni madhara yake kwa wingi
 
Hapo kweny magreda [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ss Mkuu linadondokaje greda na linavyotembea taratbu vile
hahaha huyu jamaaa kaulisha kande mbich huyu... hahaha et greda watu wanaypiga chini
 
Back
Top Bottom