Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio zote kuna hizi C Class zinawaka moto hovyo sijui ndio hizi zinazo tengenezwa southTuache utani Mercedes ni kifaa, ni uwezo tu. Wenye pesa waache wafaidi.
Nafahamu mkuu ila hizi C class zilikuwa na hitilafu fulani ,nyingi zinawaka moto ,nimesha shuhudia mbili zikiwaka moto mpaka zikateketea na hakukuwa na ajali .Yamakagashi Mercedes Benz ni gari kwanza aina ubovu wa kusumbua sumbua,ina mapumziko sana,ina balance na ndio gari inayoongoza kwa kutulia bara barani hawa jamaa walitengeneza gari na ukikaa humo huji kutoka hata ukiishuwa utatafuta benz ya zamani ili kunusa mapumziko tena ni vile kodi ipo juu hapo ndio maana vitu vingi bei za kawaida huku,huko ni hatari sana..
Hivi watz wanaonunua mpya ni wangapi!? Unaweza kuta zinanunuliwa na ikulu tu na matajiri wasiozidi hata 10.Wana uhakika, chombo imepitia vipimo vya kutosha na imethibitishwa ipo stable.
Lakini cjui kama hiyo offer huku bongo ilisikia, huku mpaka ma excavator, magreda na madampa yanapiga miguu juu ,, ijekua kijibenzi
Sawa Mkuu kila mtu ana namna ya kulichukulia jambo ,kwanini unasema Benz mimi na wewe hatuwezi kuwakosoa ? Ni nani alijua leo Samsung note 4 zinawaka moto ? Kuna makosa ya kiufundi yalifanyika kwenye hizi C classYamakagashi swala la kuwaka moto ni swala la umeme wa gari na pia inategemeana na service unafanya wapi na pia wewe unazungumzia hayo C Class unaongelea kiujumla Mkuu Benz mimi na wewe hatuwezi kuwakosoa tuwaache tuu kuanzia 2007 mpaka 2016 wametoa gari benzi mkuu na hiyo Sport yao ya AMG...
Kuna link nimekuwekea hapo zipitieYamakagashi ukiandika hivyo kifundi umekosoa nini hapo? maana kukosoa inatakiwa utoe sababu za moto kwa hizo gari na si kujua tuu gari zinaungua na kusema umekosoa hayo ni matoleo ya 3 sasa hivi wapo toleo la tano Mkuu mercedes ni shida sio SA tuu nimeona za Nchi nyingi namaanisha nachozungumza mkuu..
Habari mkuu mimi nina mpango wa kuagiza benzi used kutoka nje. Je magari haya kitu gani husumbua zaidi... au ni changamoto zipi gari hizi zinayo mpaka watu wengi hawazpndeleiHiyo ilikuwa singida kwa mbele kidogo tu kijiji sikifahamu kwa jina.
yah dat true mkuu..benz mpk ipinduke tair nne juu ni nadra sana kuziona cz benz inatabia ple unapoikimbiza speed sana zile tair zinakuwa km zinaweka tege iv na gar inashuka chini iv na inakuwa nzito na inakuwa stable sana...gar ambazo hazina longolongoKatika ubora Wa watengenezaji Wa GARI za mercides Benz!
Waliwahi kuahidi katika moja ya matoleo yao kwamba; endapo kuna Mteja wao yeyote atayekutwa kapata ajali halafu GARI ikutwe Chali mataili juu;
Waliahidi kumlipa fidia Mteja dola za kimarekani million mia moja cash pamoja na kumpa gari nyingine Mpya!
Nini jeuri ya hawa jamaa kutoa offa ile; ili hali TOYOTA HATA GARANTII YA WIKI HAWATOI?
View attachment 404350
Wee south hakuna gari za ajabu ajabu[emoji125]Sio zote kuna hizi C Class zinawaka moto hovyo sijui ndio hizi zinazo tengenezwa south