Ukikutwa umeidondosha Benzi chali unalipwa dola milioni mia

Ukikutwa umeidondosha Benzi chali unalipwa dola milioni mia

Habari mkuu mimi nina mpango wa kuagiza benzi used kutoka nje. Je magari haya kitu gani husumbua zaidi... au ni changamoto zipi gari hizi zinayo mpaka watu wengi hawazpndelei
mkuu hiz gar sio km watu hawazipendi..zinapendwa sana bt shida ni hiz gar ni very expensive kuziendesha yan..I mean ktk vifaa vyake so km unaela ya mawazo itakusumbua sana lkn ni nzur sana na ukiipata uliyotulia na ukawa mtunzaji we ni kuchange vitu vidogo vidogo like oil iv..so tbu ya hiz gar ni gharama tu ya kuzimiliki
 
Maana yangu ni kwamba hakuna upuuzi unaoshindikana bongo,
Kuna kitu kinaitwa kamati ya ufundi, sasa we mkandarasi pitisha magreda yako bila kuwajulisha ndio hapo utashangaa yote yapo miguu juu,
.....na ndo hapo mkandarasi na greda lako unapokata mti unaanguka kesho unakuta umeinuka,acha kabisa,wabongo sisi sio watu wa mchezo mchezo!!
 
Katika ubora Wa watengenezaji Wa GARI za mercides Benz!
Waliwahi kuahidi katika moja ya matoleo yao kwamba; endapo kuna Mteja wao yeyote atayekutwa kapata ajali halafu GARI ikutwe Chali mataili juu;
Waliahidi kumlipa fidia Mteja dola za kimarekani million mia moja cash pamoja na kumpa gari nyingine Mpya!
Nini jeuri ya hawa jamaa kutoa offa ile; ili hali TOYOTA HATA GARANTII YA WIKI HAWATOI?
View attachment 404350
Hawakuwaza vema itembeze kwenye daraja lisilo na kingo huku tairi za upande mmoja zikining'inia uone
 
Back
Top Bottom