stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 857
- 1,810
Akilini kwako unatakiwa kujua kuwa Ujenzi ni gharama.
Unapaswa kutumia gharama kwa busara ili kupata ubora bila kuingia kwenye matumizi yasiyo ya lazima. Watu wengi hujarahisisha kazi wakidhani wanapunguza gharama, lakini mwisho wa siku, gharama huongezeka zaidi kwa sababu ya marekebisho na uharibifu.
Njia bora ya kuepuka gharama zisizotarajiwa ni:
✅ Kupanga bajeti sahihi kabla ya kuanza ujenzi.
✅ Kuchagua vifaa bora vinavyodumu kwa muda mrefu.
✅ Kusimamia ujenzi kwa ukaribu ili kuepuka makosa.
✅ Kuajiri mafundi wenye uzoefu ili kazi ifanyike kwa usahihi.
Ujenzi mzuri unahitaji umakini, mipango thabiti, na matumizi sahihi ya fedha. Usiruhusu unafuu wa muda mfupi kuongeza gharama mbeleni! 🚧🏡
HUDUMA ZA UJENZI NA USANIFU MAJENGO*
📌 Ramani za Nyumba za Kisasa
Tunachora ramani za nyumba za kisasa kulingana na mahitaji yako.
📌 Usanifu Majengo (Architectural Design)
Tunatoa huduma za usanifu wa majengo kwa ufanisi na ubora wa hali ya juu.
📌 Ujenzi Nafuu na Uhakika
Tunakuongoza kwenye ujenzi bora kwa gharama nafuu na viwango vinavyokubalika.
📌 BOQ - Bill of Quantities & QS
Tunafanya makadirio sahihi ya ujenzi ili kuhakikisha bajeti yako inatumika vyema.
📌 Vibali vya Ujenzi
Tunasaidia kupata vibali vya ujenzi ili ujenzi wako uwe halali na ufuate sheria.
📌 Michoro ya Muundo wa Nyumba (Structure Drawings)
Tunatoa michoro ya chuma na muundo wa majengo kwa ujenzi wenye nguvu na salama.
📌 Mchakato wa Kupata Hati Miliki
Tunakufanyia mchakato wa kupata hati miliki kutoka Wizara husika.
📌 Sign Board & Mabango ya Ujenzi
Tunaandaa mabango yanayokubalika kwa mujibu wa sheria za ujenzi.
📞 Tupigie: 0743257669
📲 *Njoo WhatsApp: 0743257669
Angalia baadhiya kazi zetu
wa.me//255743257669
⚠ NOTE: Usijenge bila kibali cha ujenzi!
Tunatoa huduma kwa maeneo yote ikiwa ni *Ilala Manispaa City, Kigamboni, Temeke, Ubungo na Halmashauri nyingine zote nchini Tanzania
---