Ukila mkeo wa mwenzio sharti na wako aliwe...

Ukila mkeo wa mwenzio sharti na wako aliwe...

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Hili ni onyo tu wa wale wanaokaa na kufikira wake za watu ukweli halisi ni kwamba kama unapenda kula mke wa mwenzako basi ujue ipo siku ataliwa wa kwako hata ukioa na miaka 50.....kama uamini uliza walijaribu
 
...hivi ni kweli eeh? kwanini?
 
naam!
MLA HULIWA.
wanawake nao kujirahisisha kumezidi
 
hapa hakuna swali siku ukimtafuna mke wa mtu weka kwenye kumbukumbu zako kuwa na wewe kuna siku mkeo ataliwa tu, na ukigundua mkeo ameliwa wewe kaa kimya tuCha muhimu ni kuacha wake za watu especiaaly wa marafiki zetu> Kuna washikaji wana roho ngumu sana wankula wake za marafiki zao bwaanaa, mbaya sana hii tabia
 
Kuna msemo wa kihaya usemao 'muko omuntu irungu' yaani mke wa mtu ni msitu mkubwa,tafakari kabla ya ajali!
 
Hili ni onyo tu wa wale wanaokaa na kufikira wake za watu ukweli halisi ni kwamba kama unapenda kula mke wa mwenzako basi ujue ipo siku ataliwa wa kwako hata ukioa na miaka 50.....kama uamini uliza walijaribu

Sio kweli! Hayo ni mawazo mgando mkubwa, kweli aliyeturoga katuweza!!

Msemo kama huu unatofautiana nini na wa "aliye juu mngoje chini"?

Wadau wataendelea kukutafunia mkeo na hawataacha kwa vitisho kama hivi. Hii misemo ipo tu, hata kina mama wanayo kwenye kanga zao!!

Cha muhimu mkeo akimegwa, na wewe tafuta mnyonge wako utafune mke wake. La sivyi utabaki ku promulgate misemo isiyo na mbele wala nyuma!!
 
Vipi kama huna mke -na huamini katika hii institution ya kuoana- na mke wa mtu anajirahisisha?

Yaani my thing is, the moral of the story here seems to be usile mke wa mtu kwa sababu ukila na wako ataliwa, which is wrong because man should do good for goodness' sake.
 
CERTAINLY,u r the one going wrong!
kama upo timamu na una afya yako nzuri UTAOA TU,no matter how long will it take.
.............and finally dear,by the time u get married,TUNAMLA MKEO INSTANTLY
 
CERTAINLY,u r the one going wrong!
kama upo timamu na una afya yako nzuri UTAOA TU,no matter how long will it take.
.............and finally dear,by the time u get married,TUNAMLA MKEO INSTANTLY

kwani wanawake hawawezi kusema NO? mbona tunawaongelea sana wakati wenyewe wapo?
 
...Cha muhimu mkeo akimegwa, na wewe tafuta mnyonge wako utafune mke wake. La sivyi utabaki ku promulgate misemo isiyo na mbele wala nyuma!!

...😀😀😀 duuuuuuuh!....

Mkuu kuwa makini ukimega mwenye mali akijua atakushikisha ukuta.

...nasikia siku hizi kuna kikundi cha kukodiwa kufanya kazi hiyo, utunda utavishwa na picha utapigwa, balaa!
 
CERTAINLY,u r the one going wrong!
kama upo timamu na una afya yako nzuri UTAOA TU,no matter how long will it take.
.............and finally dear,by the time u get married,TUNAMLA MKEO INSTANTLY

Unalazimisha sasa? Watu hawataki kuoa, wewe una force king!
 
hili ni onyo tu wa wale wanaokaa na kufikira wake za watu ukweli halisi ni kwamba kama unapenda kula mke wa mwenzako basi ujue ipo siku ataliwa wa kwako hata ukioa na miaka 50.....kama uamini uliza walijaribu

mke wa mtu mtamu bana,asikuambie mtu,
 
mke wa mtu raha sana full maufundi, ila hatari kiaina
 
Back
Top Bottom