UKILAZIMISHA AKUCHAGUE ANAWEZA FANYA HIVYO ILA BAADAYE ATAKUGEUZA MTUMWA WAKE

UKILAZIMISHA AKUCHAGUE ANAWEZA FANYA HIVYO ILA BAADAYE ATAKUGEUZA MTUMWA WAKE

Mwanasayansi Kalivubha

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2024
Posts
471
Reaction score
1,217
Umewahi kulazimisha kupendwa?
Matokeo yake yalikuwaje?

Yawezekana ulilazimisha na kweli utafanikiwa akakubali kuwa na wewe ila ndani ya huyo mtu kuna mtu mwingine anaishi na sio wewe.


Kuna uwezekano akakufanya mtumwa kwa sababu anajua huna kiasi kwake hivyo anatumia udhaifu huo kukuendesha .


Ukiwa na mtu huyo utakuwa unafanya mazuri kupita uwezo wako ili umuonyeshe unampenda .

Utakuwa mtu wa wasiwasi muda wote kwa sababu utaona kama vile wewe ndio umebahatika kumpata .


Utatumia gharama kubwa sana kuishi naye ili kumfanya asitoke kwako


YOTE HAYO YA NINI?


ACHA KULAZIMISHA


#mwanasayansi Saul kalivubha
#Fikia Ndoto Zako
 
Back
Top Bottom