Ukiletewa Kesi na Mwanamke usiiendee kichwakichwa!

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
UKILETEWA KESI NA MWANAMKE USIIENDEE KICHWAKICHWA!

Anaandika, Robert Heriel
Baba.

Ukiletewa Kesi yoyote na Mwanamke iwe NI mama yako, au MKE wako, au Binti yako, au Mama Mkwe wako, shangazi au Bibi yako, nakusihi usiiendee kichwakichwa! Utakwama! Utaangukia pua.

Kwanza elewa kuwa Wanawake hawapo kwaajili ya HAKI isipokuwa wapo kwaajili ya UPENDELEO. Ukishalijua hilo basi moja Kwa moja utakuwa Makini kwenye kesi za Dada zetu, Mama zetu, mabinti zetu na Wake zetu.

Wapo waliogombana na Baba zao Kwa maneno ya Mama zao.
Wapo waliogombana na Wake zao Kwa Maneno ya Mama zao.
Wapo waliogombana na Mama zao Kwa Maneno ya Wake zao.

Kesi! Kesi! Kesi! Kesi!
Wanawake wanapenda Kesi Sana. Na sio kwamba wanapenda Kesi Kwa kutafuta kile kiitwacho HAKI, big noo! Wanapenda Kesi Kwa sababu ya kutafuta upendeleo Fulani.
Hujamuelewa Taikon bado!

Ni nadra Sana kupita wiki moja bila ya Kupata kesi Kutoka Kwa Mwanamke endapo utakuwa unaishi naye.
Na zipo sababu za wao kuzipenda Kesi, sababu hizo ni pamoja na;

1. Kukugombanisha na wanaoingilia maslahi yake.
Mfano umepanga nyumba ya Watu wengi. Alafu katika nyumba hiyo kuna mdada mpangaji mwingine ambaye anamvuto Fulani anaouhofia Mkeo.
Upo uwezekano mkubwa wa Mkeo kutengeneza kesi za hapa na pale kila urudipo kazini Kwa malengo kadhaa;

Moja, kujua mtazamo wako na vile unavyomuona huyo mdada.
So atakuwa anaelezea kesi yake lakini utakuta mara kadhaa akichomekea maneno Fulani ya kejeli na dhihaka kukosoa uzuri wa huyo mdada, mfano, Dada mwenyewe sio mzuri sijui lipoje kama limbuzi, alafu Mkeo akishasema hivyo atakuwa anakusahili machoni kupima Mzunguko wa Akili yako. Je utakubaliana naye au Laa!
Halikadhalika na Wadada WA KAZI za ndani ambao kimaumbile ni tishio Kwa Mkeo, hao kila Siku lazima ushuhudie kesi za Mkeo kila Siku. Yaani haipiti siku Mkeo atakuwa kwenye kisirani. Kesi! Kesi! Kesi!

Pili, kukugombanisha na kukutaka usiwe na mazoea au ukaribu na anaokuletea kesi zao.
Mwanamke hawezi akakuambia moja kwa moja kuwa uache mazoea au utani na Fulani. Hiyo ataisema indirect way kupitia kesi zake. Endapo utaona kesi mara Kwa mara juu ya MTU Fulani zinazoletwa na Mkeo jaribu kuelewa kuwa, anakuambia hataki uwe na mazoea na MTU huyo.
Kwa Mwanamke mazoea huyahesabu kama sehemu ya upendo wako Kwa huyo MTU.

2. Kutaka kuona nafasi yako kwake.
Vile unavyohangaika kuzitatia kesi anazokuletea, anahesabu kama unampenda na kumjali.
Mwanamke sio tuu kumpa Pesa na matunzo. Pia wanatumia kesi zao kujua nafasi ya upendo wako kwake.
Ni kiasi gani unampenda.

3. Kuthibitisha nafasi yake kwako Ipo Kwa kiwango gani.
Mama yako mzazi anawaze akakuletea kesi ya kawaida kumhusu Baba yako Kwa lengo la kuthibitisha kuwa nafasi yake kwako Ipo vipo. Zile response utakazochukua ndio zitampa majibu.
Vile utakavyomshughulikia Baba yako ndivyo anavyofurahia.

Au anaweza kuthibitisha nafasi yake kwako Kwa kuipima na nafasi ya Mkeo uliyemuoa.
Ataleta Kesi ya ajabuajabu lakini ataiweka kimantiki. Mara nyingi Wanawake linapokuja suala la kesi wanajitahidi kuwa na Mantiki. Sina uhakika na mambo mengine.
Mfano; Mamaako anaweza kuja hapo kwako(ni sahihi) kisha akaanza kujifanya anakosoa utendaji wa MKE wako iwe kwenye mapishi, usafi, namna Mkeo anavyoongea na wewe(Hii sio sahihi). Hiyo tayari ni kesi imewasilishwa indirect way. Au akakuambia kabisa Mkeo amekukalia.
Sasa kazi kwako kuitatua.

Au Mkeo anaweza kuleta kesi Kwa Akili kubwa, yaani Wanawake Kwa kuchonga kesi sio Watu wa mchezomchezo, anaweza kuanzia mbali Mno, yaani mbali Mno! Mbali Sana!
Mama yako kafika hapo nyumbani kuja kuwasalimia, Mkeo labda hajapenda,
Anaweza kuunda Kesi matata ambayo usipokuwa Makini utakwama.

Mfano ataanza kujifanya Usiku anaota ndoto Mbaya, anavuruka na kupiga makelele, huku akimtaja Mama yako. Kisha ataigiza ameshtuka usingizini ukiwa yote unashuhudia.
Mfano atasema; "Mama Taikon usiniue! Usiniue! Niachie! Mama Taikon nimekukosea nini?"

Alafu utamuuliza nini? Atajifanya kukushangaa kuwa Hakuna kilichotokea, hatasema kitu yaani hakumbuki kitu.
Atakuachia mgogoro wa kinafsia, kuwa mbona amemtaja Mama, alikuwa anaota nini.
Kesho tena hivyohivyo, kisha Baada ya wiki ataanza kuumwa(kujifanya anauumwa) kisha atakusimulia ndoto ambazo anamuota Mama yako, huku kila mara akitengeneza mazingira ya kugombana na mama yako ila Mama yako akiwa kwenye upande wa kukosea(kumuonea), hiyo ni rahiai Sana😀.
Mwisho atasema anahisi Mama yako ni mchawi. Kama unabisha twende Kwa Mchungaji au mganga. Hapo tayari ameshawapanga iwe ni Mchungaji au mganga. Umepigwa.

Sasa ni lazima uwe na Akili Sana. Unapodili na kesi za Wanawake bila kujali kesi hiyo inatokea upande upi.
Kumbuka Wanawake sio Watu wa HAKI Sana isipokuwa wanapenda upendeleo. Hivyo umakini ni mkubwa unaohitajika.

Vita ya Mama Mkwe na Mkeo, Dada zako na Mkeo ni vita ambazo zimebeba kesi nyingi.

Hata hivyo elewa kuwa kesi nyingi zinazoletwa na Wanawake zinakuwa na kiwango kidogo cha ukweli alafu chumvi inakuwa ni nyingi inayoongezewa.
Yaani Watachukua ukweli uliotokea kisha watauundia utunzi/uongo mwingi kuufanya ukweli huo ubebe hisia Kali zitakazofanya Watu wawe upande wake.

Ukiwa kwenye Familia unapaswa uwe muangalifu Sana. Utumie Akili mno sio tuu kwenye kutafuta Pesa Bali pia kwenye kulinda usalama wa Familia.

Mkeo ni rahisi kuunda Kesi baina yako na watoto.
Mfano sheria moja ya nyumba yako inasema; hakuna mtoto wako ndani ya familia anayetakiwa kuwa nje ya nyumba Baada ya jua kuzama.
Mkeo anaweza unda kesi kupitia sheria ulizozitunga hapo nyumbani kukugombanisha na watoto wako.
Watoto wakuone hauna Upendo kumbe zile sheria ni kwaajili yao.

Kikawaida ubaba ni sheria. Huwezi kuwa Baba kama hauna sheria na kanuni. Haiwezekaniki.

Mambo ya kuzingatia unapoletewa Kesi na Mkeo

1. Hakikisha unayaangalia macho yake Wakati anawasilisha shauri/kesi hiyo.
Macho ndio MLANGO WA Nafsi.
Jitahidi uone kwenye kile kiduara cheusi cha macho yake(sijui ndio kinaitwa mboni). Kitu kama ni uongo hicho kiduara cheusi hakitaweza kukuangalia.

2. Kama analia mtulize, mwambie asikueleze Jambo huku akilia. Hisia zinatabia ya kuambukiza. Akiongea huku analia atakufanya usikilize Kwa mihemko badala ya Akili.

3. Onyesha kuumizwa na Jambo Hilo, na jitahidi kuonyesha haujapendezwa lakini mwambie utafuatilia. Asiwe na Shaka.
Usikubali kuendeshwa na hisia na kuyachukua maneno yake kichwakichwa na kwenda kufokea Watu au kupiga MTU aliyekushtakia au kumfukuza. Siku ukija kuujua ukweli utajidharau na kujiona huna Akili.

4. Chunguza Kwa Njia zako mwenyewe, asikupe mbinu au njia za kufanya uchunguzi. Mfano amekuambia muende Kwa mganga au Mchungaji. Basi fanya uchunguzi tafuta Mchungaji au mganga wako mwenyewe bila kumshirikisha kisha siku ya kwenda ndio umwambie kesho tutaenda Kwa mganga au Mchungaji kufuatilia Ile ishu.

5. Kwa Maamuzi! Jitahidi kulenga kutenda HAKI na sio kutenda Kwa upendeleo.
Haki ndio itakulinda siku zote na haitakuumiza. Lakini ukitenda Kwa upendeleo basi Ipo siku nawe utahitaji upendeleo na hautaupata. Ila ukitenda Haki nawe utatendewa Haki.

Haki haijalishi MTU ni mama yako au Mkeo au Binti yako. Kama amekosea mueleze na muonye Kwa hekima kuwa umekosea. Na hautaki kuona Tabia hiyo ikirejea.
Lakini sio Kwa sababu MTU ni Mkeo au Binti yako au Mama yako alafu kakosea unakaa upande wake hivyohivyo, hapo haujengi ila unajibomoa mwenyewe. Hasa siku za usoni.

6. Haki ndio upendo wenyewe.
MTU unayempendelea mara nyingi ndiye atakayekuja kukuzingua pakubwa na haitakuumiza chochote.

Elewa kuwa Wanawake wapo kwaajili ya mambo kama hayo. Wala wasikupe shida wanapokuletea Kesikesi! Ndivyo walivyo. Na hiyo ni moja ya vitu vinavyowafanya kuwa Wanawake.
Hakuna haja ya kuwachukia.

Taikon Acha nipumzike SASA

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
 
Umeongea la muhimu ila siungi mkono hapo kwenye mfano wa kwenda kutafuta mganga aisee me mke wangu ananijua nishamwambiaga mimi kwetu hakuna aliyewahi kwenda kwa mganga na hatuwaamini tunaona wote matapeli tu japo kwao mke wangu wamewahi kwenda kuchungulia kwa waganga..asije kunishauri huo upuuzi
 
Hatariiii Safi sana. Una maushauri mazuri sijapata kuona. Mungu akubariki sana
 
Wewe ni mnoma sana umetisha sana 👍👍👍
 
Umeongea la muhimu ila siungi mkono hapo kwenye mfano wa kwenda kutafuta mganga aisee me mke wangu ananijua nishamwambiaga mimi kwetu hakuna aliyewahi kwenda kwa mganga na hatuwaamini tunaona wote matapeli tu japo kwao mke wangu wamewahi kwenda kuchungulia kwa waganga..asije kunishauri huo upuuzi

😂😂

Zipo familia haziamini katika uchungaji ndio nimewapa njia Yao wanayoitumia.
Wanaoamini kwenye wachungaji waende Kwa wachungaji
Wanaoamini Kwa Waganga waende Kwa waganga
 
Hio huitwa akili yenye kuzingatia mizania
 
Wewe jamaa una uelewa mpana kwenye baadhi ya mambo. Ilitakiwa uwepo kwenye vitengo flani huko serekalini kwa ajili ya kushauri. But ndo vile asilimia kubwa wamekaa watu bogus

😀😀
Hata hiki kitengo nilichonacho hapa ni kikubwa Mkuu.
Ninapata muda wakutosha kuwashauri Watu wengi.

Ingawaje mawazo yako ni mazuri
 
Back
Top Bottom