Ukiletewa Kesi na Mwanamke usiiendee kichwakichwa!

Ukiletewa Kesi na Mwanamke usiiendee kichwakichwa!

Hapo kwenye kuangalia kwenye macho hata askari wapelelezi wanaitumia kwenye mahojiano.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Umeuliza swali zuri Sana Mkuu
Lakini sio kila kitu unafanya ili ulipwe. Wakati mwingine unaweza fanya kitu Kwa sababu unapenda kufanya kitu hicho.

Nawe nakuuliza;
Hivi unavyosomaga, huwa unalipwa?
Mm silipwi lakini nanufaika.
 
Mm silipwi lakini nanufaika.

Vizuri Sana.
Sio kila Jambo unatakiwa unufaike nalo.
Mengine fanya ili watu wengine wanafuike na wewe.

Hakuna Raha kama hiyo. Kuona watu wananufaika na wewe Kwa Yale unayoyafanya kama Hobby.

Ingawaje, ni muhimu kufanya kazi inayokupa kipato. Sio uwafurshishe Watu au Watu wananufaike na wewe alafu wewe unalala nja. Huo ni upumbavu
 
Siku ya kwanza akitishia kuota na baadae akasema hakumbuki, Basi ndoto iyakayofuata hapo hapo atakula gumi moja maridhawa la jicho.nadhani huo utakuwa mwisho wa kupata ndoto maishani.
 
Siku ya kwanza akitishia kuota na baadae akasema hakumbuki, Basi ndoto iyakayofuata hapo hapo atakula gumi moja maridhawa la jicho.nadhani huo utakuwa mwisho wa kupata ndoto maishani.

Usitumie nguvu Mkuu kudili na mambo ya Dada zetu. 😂😂
Hawa wanahitaji uwe na drama na fix, ujanja ujanja, propaganda nyingi. Hiyo ndio Dawa Yao
 
Back
Top Bottom