marcus dedsec
JF-Expert Member
- Nov 29, 2017
- 944
- 987
Hapo kwenye kuangalia kwenye macho hata askari wapelelezi wanaitumia kwenye mahojiano.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm silipwi lakini nanufaika.[emoji23][emoji23][emoji23]
Umeuliza swali zuri Sana Mkuu
Lakini sio kila kitu unafanya ili ulipwe. Wakati mwingine unaweza fanya kitu Kwa sababu unapenda kufanya kitu hicho.
Nawe nakuuliza;
Hivi unavyosomaga, huwa unalipwa?
Mm silipwi lakini nanufaika.
Siku ya kwanza akitishia kuota na baadae akasema hakumbuki, Basi ndoto iyakayofuata hapo hapo atakula gumi moja maridhawa la jicho.nadhani huo utakuwa mwisho wa kupata ndoto maishani.
Umetisha Taikon
Mimi ni mnyoofu, nitakwenda kiunyoofu.Usitumie nguvu Mkuu kudili na mambo ya Dada zetu. 😂😂
Hawa wanahitaji uwe na drama na fix, ujanja ujanja, propaganda nyingi. Hiyo ndio Dawa Yao
Mimi ni mnyoofu, nitakwenda kiunyoofu.