Ukiletewa Kesi na Mwanamke usiiendee kichwakichwa!

Sahii kabisa,
-Tangu dunia iumbwe,Wanawake Ni masters of illusion and manipulation.

-Hata Adam aliangukia dhambi ya kula tunda kisa Maneno ya Eva.

-Ndo Mana Hata vitabu vitakatifu vimetuasa tuishi nao kwa akili[emoji106]

πŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎ
 
Hivi unavyoandika huwa wanakulipa? Au unatoa sadaka?
 
Hivi unavyoandika huwa wanakulipa? Au unatoa sadaka?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Umeuliza swali zuri Sana Mkuu
Lakini sio kila kitu unafanya ili ulipwe. Wakati mwingine unaweza fanya kitu Kwa sababu unapenda kufanya kitu hicho.

Nawe nakuuliza;
Hivi unavyosomaga, huwa unalipwa?
 
Ee ndo mjue.

Haifiki pasaka yupo mbaba nampeleka kwa pilato

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hamtaki tukae hivihivi, kila saa mnatushughulisha.
Tukitoa Pesa na matunzo mnafurahi, lakini hazipiti dakika tukiwa sebuleni tumepumzika zinaanza kesi za kutafuta attention yetu kwenu.

Hivi mtatuacha lini tupumzikeeee
 
πŸ˜€πŸ˜€
Hata hiki kitengo nilichonacho hapa ni kikubwa Mkuu.
Ninapata muda wakutosha kuwashauri Watu wengi.

Ingawaje mawazo yako ni mazuri
Tatizo hulambi asali ukiwa hapa 🀣 wenzio mabogus wanalamba asali wakati hamna la maana wanalofanya kwa nchi.
 
Tatizo hulambi asali ukiwa hapa 🀣 wenzio mabogus wanalamba asali wakati hamna la maana wanalofanya kwa nchi.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ulivyosema hivyo nikamkumba Mzee Makamba akimuuliza Yule mtangazaji " Wewe hulambi Asali?"
 
Mtia Chuki

Misogynist twaat

Mmezaa na Madad zenu yamewakuta. Msituletee Maadili yenu ya Ukimbari.

Inbred damwits
 
🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 Mtangazaji alijibuje?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Macho ya Muuliza swali yalimtisha, unafikiri angekuwa na chakujibu, zaidi ya kubabaika.

Mimi ningemjibu, Mzee wangu Nina huyu la Asali lakini wakuniwekea Asali hayupo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…